Mr. President Kindly Surprise Me!

Kuna mtu anaitwa Mwandosya bila shaka ana uwaza uraisi pia 2015 ila Jk huwa anamtupa mbali ili asi shine!
Na uhakika 2015 lazima atakuwepo nae!
 
Afu 2004 - 2005 ulinishauri nirudi Bongo. Mambo lakini kijana?

Who knows labda ungerudi kura yako ingeleta mabadiliko chanya - it takes one vote to change things!

Mimi mzima tu najiandaa kukimbia Bongo kama Mista President hatanipa hii special surprise package!
 
Luv Gaijin,

Only God knows wizara ya ardhi ina kazi gani...ndo maana comrade anapendekeza a total revamp....kama ulimsikia yule jamaa wa kule marekani sijui mshabiki wa Tea party akisema baada ya kushida kuwa "we need to take our government (some resources zetu) back!"

Asante kwa kunisemea, huo mfano wa Tea Party uko spot on japo majamaa wanambagua sana mtu wetu pale DC! Umenikumbusha kawimbo fulani kalikotungwa na wanaharakati, kanasema RUDISHA RASILIMALI KWA WANANCHI - hii ndio inapaswa kuwa kazi kuu ya Wizara ya Ardhi, na si kuirudisha rasilimali mama (ardhi) na vyote vilivyomo (madini, miti n.k) kwa wananchi tu lakini pia kuwawezesha kuzitumia kwa tija!
 
Huyu mama Tibaijuka kaifanyia nini Tanzania. Tuna ushahidi wa miradi aliyopeleka Kenya, ina maana watanzania tulikuwa hatuitaki?

Soma ama rejea kwanza hiki kitabu chake kisha uliza swali la nyongeza:

Tibaijuka launches her book Building Prosperity: Housing and Economic Development
Book250.jpg

Nairobi, 24 Nov 09

UN-HABITAT Executive Director, Mrs. Anna Tibaijuka today launched her book, Building Prosperity: Housing and Economic Development.
The book breaks new ground in economic thinking. Mrs. Tibaijuka says housing provision is so central to social and economic well being that policy makers need to act on this rather than continue to treat the activity as a mere social good.
Using detailed case studies and examples of best practices, the book shows that both the supply and consumption of housing interact closely with economic growth, notably through their impact on employment, income generation, investment and savings.
The book calls for adequate and decent housing to be provided for people around the world, adding that due to its widespread impact in developing skills, decent housing would improve workers health and increase their productivity.
Decent housing would also increase workers capital stock and fixed investments, guarantee incomes and savings, foster inclusiveness and enhance household assets.
“All these outcomes depend on the extent to which policy and institutional distortions which often alienate a bulk of the population are rectified,” says Mrs. Tibaijuka.
In his foreword, UN Secretary-General Ban Ki-moon says the recent sub prime lending crisis in the US and the attendant ripple effects at all levels of society show clearly how central housing is to society and the potential it holds for countries at lower levels of development.
“National development plans and policies need to incorporate a broader vision for the housing sector that goes beyond the traditional argument of social need and towards an enhanced contribution of housing to accelerated economic growth,” says Ban Ki-moon.

UN-HABITAT.:. Feature Stories | News | Tibaijuka launches her book Building Prosperity: Housing and Economic Development
 
Who knows labda ungerudi kura yako ingeleta mabadiliko chanya - it takes one vote to change things!

Mimi mzima tu najiandaa kukimbia Bongo kama Mista President hatanipa hii special surprise package!

Usikimbie bwana. Nyie ndio nguzo ya nchi. Ndio ma-technocrats. Mabox tuachie sisi walalahoi.
 
Soma ama rejea kwanza hiki kitabu chake kisha uliza swali la nyongeza:

Tibaijuka launches her book Building Prosperity: Housing and Economic Development
Book250.jpg

Nairobi, 24 Nov 09

UN-HABITAT Executive Director, Mrs. Anna Tibaijuka today launched her book, Building Prosperity: Housing and Economic Development.
The book breaks new ground in economic thinking. Mrs. Tibaijuka says housing provision is so central to social and economic well being that policy makers need to act on this rather than continue to treat the activity as a mere social good.
Using detailed case studies and examples of best practices, the book shows that both the supply and consumption of housing interact closely with economic growth, notably through their impact on employment, income generation, investment and savings.
The book calls for adequate and decent housing to be provided for people around the world, adding that due to its widespread impact in developing skills, decent housing would improve workers health and increase their productivity.
Decent housing would also increase workers capital stock and fixed investments, guarantee incomes and savings, foster inclusiveness and enhance household assets.
"All these outcomes depend on the extent to which policy and institutional distortions which often alienate a bulk of the population are rectified," says Mrs. Tibaijuka.
In his foreword, UN Secretary-General Ban Ki-moon says the recent sub prime lending crisis in the US and the attendant ripple effects at all levels of society show clearly how central housing is to society and the potential it holds for countries at lower levels of development.
"National development plans and policies need to incorporate a broader vision for the housing sector that goes beyond the traditional argument of social need and towards an enhanced contribution of housing to accelerated economic growth," says Ban Ki-moon.

UN-HABITAT.:. Feature Stories | News | Tibaijuka launches her book Building Prosperity: Housing and Economic Development

Mkuu sijakisoma hicho. Lakini Companero kwanini Kigamboni project isiende Mbeya? Msipoangalia mtakuja kuwa na two Republics within one. The People Republic of DSM, and The People Republic of Tanzania.
 
Mkuu haya mambo hayaangaliwi kiteknokratiki tu. Kuna komesholi interesti. Na zote hizo zinahusiana na politiko interesti. Ndio maana nasubiria sapraizi pakeji. Profesa kama Tibaijuka anaweza kuchangia kuondoa Dar es Salaam Urban Primacy. Hilo likitokea hatutaimba Tanga kunani pale!
 
Nasema hivyo kwa sababu. Jamaa walikuwa wanachambua The oldest Black Republic - Haiti. Wanasema the failure of ruling class kufanya sehemu zingine viable kwa maendeleo kumefanya watu kutoka countryside wakimbilie Port of Prince. Na kwa sababu Port of Prince haina kazi za kutosha basi wanaishia kuishi kwenye slums.

Na hii ndio kinachotokea Tanzania kwa sasa. Mass immigration inaelekea DSM lakini kama mngeweza ku-maintain food processing industrials huko Iringa, Mbeya, Ruvuma, Tanga etc etc mngepunguza msukumo wa migration. Hivi Nyerere si aliacha viwanda fulani kule, sasa kutwist viwanda hivyo inashindikana nini?
 
Mbona Mr. President kashaanza kufanya surprise kwenye hilo, wanajenga viwanda vya kusindika matunda huko Bagamoyo, wanapeleka na bandari kule, wanajenga barabara kuu ya kupitia Msata n.k., yote hayo yakifanikiwa basi Bagamoyo na Kibaha zitakuwa what New Jersey is to New York!
 
Sasa unataka kukimbia nini? Nina mpango wa kuchukua sabattical. Nitafutie shamba tu.
 
Tutawasiliana ngoja nikaangalie miji ya majirani zetu, ciao
 
Minister for Economic Upgrading. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka
Minister for Constitutional Changes: Dr. Harrison Mwakyembe
Minister for Land Reclaiming: John Pombe Magufuli (PhD)
Hawezi kuwaacha mohammadan akawapa hao!
 
Hawezi kuwaacha mohammadan akawapa hao!

Idiot. Ukitaka kufahamu mambo kwa undani rejea makala ya Jenerali Ulimwengu kaika gazeti la The East African wiki kadhaa zilizopita.

Mkuu Companero, kama kweli mheshimiwa rais anataka kutushangaza angeacha baadhi ya viti vya wizara muhimu wazi kwa muda na kuamua kusaka kwa udi na uvumba mabadiliko ya katiba ambayo yatafuta ulazima wa mawaziri kuwa wabunge. Kazi ya waziri ni bora ikafanywa na watu wasio na kofia ya ubunge ili kuwapa muda zaidi kuwekeza juhudi katika kazi za wizara husika na kuepuka mgongano wa maslahi.

Ila akishindwa hayo, basi ateue wataalamu kuwa wabunge na kisha awape uwaziri katika maeneo nyeti.

Kingine, rekodi ya Magufuli wizara ya ardhi na ya ile ya Ujenzi kabla ya hapo siyo nzuri. Yeye anaPR nzuri tu inayomfanya aonenake mchapakazi ila alivyokuwa Ujenzi waliacha madeni mengi tu kwa papara zake na hata ardhi sakata la mauzo ya nyumba za serikali na utwaaji wa viwanja vya watu bado hayajapatiwa ufumbuzi.

Prof. Tibaijuka ajira yake UN-Habitat iliishaje?

Kuna mawaziri wengine wa zamani bomu tu ambao Mh. Kikwete angefaa awapige chini kuanzia akina Mkullo, Membe, Ngeleja, Ghasia, Simba, pamoja na manaibu na makatibu wakuu lukuki
 
Bado sina imani na choices za vasco da gama. unajua jamaa anapenda sifa hivyo lazima ateue low profiles ili redet wawe wanamtaja kwenye tafiti zao kuwa yeye ni maarufu kuliko wasaidizi wake.
you are damn right aisee!
huwa anachagua mandonya tu, kama wakina kawambwa wanaopigia magoti picha ya mkwere kuomba kura.
 
It is difficult for you to get that suprise remember ccm made ceo can never sit in the same table with integrity,accountability and transparency. if you proposal materialize it wont be a suprise but rather a revolution
 
Afu 2004 - 2005 ulinishauri nirudi Bongo. Mambo lakini kijana?

Zakumi...usirudi moja kwa moja. Beba boksi kwanza ilhali bado kijana. Mimi niko bongo sasa hivi na hakuna mpango. Mavumbi, pollution, mbu, harufu mbaya ya takataka na vikwapa, makororongo, na adha nyinginezo ambazo binadamu hastahili kuzi experience ndizo zinazotawala. Hakuna cha bongo Nyu Yoki wala nini.

Kama unapiga boksi lako Target...wewe endelea nalo tu. Ukipata tax return unarudi bongo kusalimia halafu huyo unasepa.
 
Back
Top Bottom