Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 914
​si useme tu mpumbavu ni= dhaifu
Ukiwa kiongozi, ukajifanya mwerevu Na kupuuza ushauri wa watu wako wenye hekima, Na kujifanya unajua kila kitu, Basi Hao washauri wazuri lazima wakukimbie Na utabaki unazungukwa Na washuri matakataka.. Na hata ukitaka ushauri kutoka Kwa wale uliowapuuza Mwanzo, kizuri watachokushauri ni UPUMBAVU Na Utajikuta unatenda UPUMBAVU..
Hata ukigoma kusikia SIKIA..
Mbona nawe umeleta upumbavu humu JF?
Mbona nawe umeleta upumbavu humu JF?
Hii ni hekima ya ukweli kabisa, hata hivyo hujafikisha ujumbe kwa mtu/wat mwafaka na hautakuwa na matunda.Ukiwa kiongozi, ukajifanya mwerevu Na kupuuza ushauri wa watu wako wenye hekima, Na kujifanya unajua kila kitu, Basi Hao washauri wazuri lazima wakukimbie Na utabaki unazungukwa Na washuri matakataka.. Na hata ukitaka ushauri kutoka Kwa wale uliowapuuza Mwanzo, kizuri watachokushauri ni UPUMBAVU Na Utajikuta unatenda UPUMBAVU..
Hata ukigoma kusikia SIKIA..
Mbona nawe umeleta upumbavu humu JF?
Wewe ndio muhusika maana ni kama vile umeguswa au kuna anayekuhusu unahisi hikma hii inamuhusu.
Mpumbavu wa kwanza ni Mwoga, dalili ya Mwoga ni kushambulia Hoja huku kaficha id yake. Si busara hata kidogo kumjibu mpumbavu aliyeficha I'd yake..
Mwachie Upumbavu wake..
Hivi wewe unaona huu uliouleta sio upumbavu? kwi kwi kwi teh teh teh!
Hii ni hekima ya ukweli kabisa, hata hivyo hujafikisha ujumbe kwa mtu/wat mwafaka na hautakuwa na matunda.
MKUU ZOMBA HII KAZI ULIYOPEWA KUWA MAKINI NAYO, ASUBUHI HADI JIONI WEWE HUBANDUKI MTANDAONI??????!!!!! HATA ALIYEKUAJIRI ATASTUKA SASA KUWA UNAMWIBIA, KWAMBA UNAFANYA OVYO OVYO TU KUTIMIZA WAJIBU TU ULE FEDHA YAKE BILA KUFANIKISHA KUSUDIO LAKE. TULIA ,JIPANGE KISHA TAFUNA HIYO HELA YA HUYO DHAIFU KISAWASAWA, ALA! CHA KUPEWA SI CHA KUIBA BANA.:eek2: