MPs demand BAE pays £30m to Tanzania immediately | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MPs demand BAE pays £30m to Tanzania immediately

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Jul 21, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  HONGERA MEMBE AND MP NDUGAI
  NAONA KAZI YA WANAJAMII FORUMS IMEGONGA MWAMBA


  MPs have demanded that BAE Systems pay the Tanzanian government £29.5m in full and immediately - or face further legal action

  The British defence company, which agreed 16 months ago to pay the sum as part of a settlement with the Serious Fraud Office, was accused by members of the International Development Committee of "procrastinating" and creating delays that amounted to a "complete sham".

  BAE, whose sale of a radar system to Tanzania was the subject of an international corruption probe, said the settlement payment had been delayed because a court had to finalise the amount. The company, represented by Philip Bramwell, general counsel, and Bob Keen, head of government relations, said BAE had set up an "advisory board" to ensure the money reaches the best possible causes in Tanzania and was hoping to release the first £10m tranche "within weeks".


  MPs, who held the "one-off session" as part of a wider probe into financial crime, retorted that the company had been ordered to pay a fine for serious fraud, "not to set up a charitable trust". They said they thought the advisory board was a "complete sham" that was merely wasting more time.


  Richard Alderman, director of the SFO, told the Committee that BAE's handling of the payment to Tanzania was "unsatisfactory and frustrating". He agreed that BAE had to wait until the precise settlement had been finalised by a judge. But he said he was surprised that company had not put in place any contingency plans to make the payments - "there was nothing to proclude them for doing that". He backed MPs calls for BAE to make the payments quickly and said he was prepared to take the case "to the next stage" if he felt this was not going to happen.

  Alan Duncan, the Minister for the Department of International Development (DFID), said he was also "baffled" by the reasons BAE had given for not paying the fine immediately.  SOURCE: THE TELEGRAPY
   
 2. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Long Live Bunge, Long Live CCM govt.
  Wamejua sasa kuwa Tz una utawala makini.
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  bunge la uingereza halina mamlaka kisheria ya kuishurutisha BAE System kuilipa Serikali ina mamlaka ya kushauri tu kama ilivyofanya
   
 4. k

  kiloni JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Serikali ya magamba ULAJI MWINGINE HUOOOOO!!!!! hamkulazimishwa kumchukulia hatua mzee wa vijisenti lakini vijisenti vingine vyaja. Shetani awape nini wenzake mliopo duniani viongozi wa Magamba. Kuleni kuleni kwa moyo mmoja nambari wahedi ni nyie!!!!!!!!!!
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  order ndo imetolewa

  Akina Rev Mas, MMJ etc walikuwa wanapinga hili

  Serikali iko makini kweli
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hela zinarudi kwa wananchi ili kuonyesha serikali iko kazini
   
 7. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Na ndiio maana jina lako linafanana na anaeimaliza nchi yetu kwa sasa.
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  tatizo sio jina, hela zimerudi bila chenga
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kaka acha kupaka rangi upepo!
   
 10. M

  Mghaka JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Inakera na ni aibu hata kufuatilia pesa yako ambayo uliiila kwa njia ya kimafia. Hakuna hata kiongozi aliyepambana kuona haki inapatikana katika ununuzi wa rada ile, waingereza walipambana, hadi waziri wao akajiudhuru kwa kujisikia vibaya nchi maskini kama Tanzania inaingia mkenge wa wazi vile. Viongozi wetu wa wakati huo na Kikwete akiwa waziri wa mambo ya nchi za nje na ni sehemu ya jukumu la wazira yake kusimamia makubalianao na mikataba baina ya nchi na nchi au nchi na shirika la kimataifa walishupalia kuhakikisha mkataba unafikiwa. Sasa leo wanawezaje kusimama kifua mbele waseme hela hizo ni za Tanzania. Fedha hizo hazikuchukuliwa kwa hila kama yule mjusi aliyeko ujerumani ni sisi tulitumia lakini wasamaria wakasema pamoja kuwa ni hela zenu hapa hapana mnawanyonya watanzania wenzenu. Si vibaya kudai hela hizo lakini ni dhambi zaidi kudai bila kukiri udhaifu na kuchukua hatua dhidi ya udhaifu huo. Tupo watanzania tunaosema kwa kuwa kilichokuwa kimejificha ndani ya ununuzi wa rada sasa kimefichuka zichukuliwe hatua za kutuba dhambi hii ndio hatua ya pili tudai hizo hela. Kwa namna hiyo tutakuwa tumesafisha na kuiwekea uwigo wa ulinzi hela hiyo isije ibiwa tena
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Ana cheza Break Dance siyo? Hahaaaaaa...
   
 12. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Bunge haliko juu ya mahakama uingereza. Kuna clear separation of powers hivyo bunge haliwezi kuingilia uamuzi wa mahakama. Unless BAE have lost their case in the court....
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 14. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  najua mmeshidwa kwa nguvu zote maana kila siku mlikuwa mnajidai ooh email nimetuma kwa clara
  sasa umeona yamewatokea puani

  MMJ hawezi kusema kitu maana kazi yake haijakubalika
   
 15. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  I am really dismayed by this move of paying the same corrupt government this money. Nimesikitishwa na kufedheheshwa na hawa wazungu nainaonyesha hawana uchungu na waafrica. Kuwarudishia ccm hizi hela ni hujuma dhidi ya ubinadamu. Nina uchungu sana na nchi yangu!!!
   
 16. F

  FJM JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwa ufahamu wangu hii change haiendi serikalini as in serikali bali kwa account maalum itakayokuwa chini ya BUNGE. Victory for the govt?- I dont think so!
   
 17. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  decision has been made no one can change it BAE has to pay Tanzania Gov
   
 18. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hivi wewe unalipwa sh ngapi na mafisadi?
  au na wewe ni fisadi?
  naomba uweke jina lako la ukweli ili tujue kama una uchungu kweli na hii nchi.
  wezi wakubwa nyie .
   
 19. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  usiwe na hasira hela inarudi kwa wanachi kuwasadia
   
 20. s

  sawabho JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Umeishajiuliza hiyo pesa iliendaje huko? Yaani huyo aliyeshindwa kusimamia pesa osiende huko, ndio huyo huyo ambaye inarudishwa kwake!!!
   
Loading...