MPs demand BAE pays £30m to Tanzania immediately

MPs demand BAE pays £30m to Tanzania immediately

Diplomatically what would you expect from a political body to another?, sending gesture that they support each other. Hata Obama anajua kuwa JK hakuchaguliwa na wananchi lakini kwa kuwa diplomasia inamtaka aoneshe otherwise akamtuma Hillary kuja kutembelea TZ, hii ni kwa masilahi yao si kwa masilahi ya watanzania.

Hata siku moja sikutarajia bunge la uingereza kusema linaunga mkono maamuzi ya BAE katika kutumia NGO kufikisha hela za kuonesha wanajali watanzania baada ya kupakwa matope na serikali corrupt ya Tanzania iliyosababisha kutikisika kwa credibility yao. Kwa mtu yeyote mwenye mawazo finyu ataanza kushangilia kauli hii na hilo ndiyo lengo la bunge la uingereza kujiweka kando na sakata zima. Ni mahakama pekee inayoweza toa amri ya malipo haraka na mliokaa mkao wa kula mkaanza kushangilia. Corporate Governance in UK is really and practical, Kama BAE wamesema otherwise haitabadilika, Kama sera si kutoa pesa kwa serikali bali ni kutoa kwa charities basi hiyo imekula kwa CCM. Kwanza mnatutia aibu sana, tena sana yaani mnaharibu hali ya hewa na kulazimisha airfreshner mkabidhiwe ninyi ili kupuliza hewa ibadilike. Je watajuaje kuwa wakati wa kupulizia airfreshner hiyo hamtakuwa mnaendelea kutoa hewa chafu?.

BAE wanasababu kuu mbili za kutaka kutoa pesa kwa Charities
  1. Charitable deductions from tax. Kama watatoa kwa charity hiyo pesa itahesabiwa kama ni charitable donation na hivyo kuwa deduced from their taxable income, tofauti na kuipatia serikali ambayo haita qualify kuwa charitable donation. na Hivyo kuchukuliwa kama sehemu ya mapato inayotumika na kampuni hivyo hawatapata tax relief.
(Qualifying charitable donations made by a company are allowed as deductionsfrom the company's total profits in calculating
the corporation tax chargeable for an accounting period.
Origin: ICTA s.338(1) ) http://www.hmrc.gov.uk/rewrite/cc_sc0907_charitable_don_rel_clauses.pdf

  1. Wakitoa pesa hizo kwa serikali corrupt na baadae ukaanza mgogoro na kashfa juu ya matumizi hayo BAE bado itakuwa inaumiza jina lake. Kwani watashindwa kujitetea kuwa kwa nini serikali corrupt iliyoshindwa kuwafikisha corrupt official in court mkawaamini na kuwapatia pesa hiyo tena?

Mkuu sana Hofstede!

Ndiyo maana nimesema toka mwanzo hii ni janja ya bunge la uingereza kujikosha, kwa kuwa uhusiano wa Tanzania na Uingereza haujaanza kwenye awamu hii wala hautaishia kwenye awamu hii, wanaangalia mbali tofauti na sisi, na amini nakwambia hiyo issue yakusema kuwa endapo BAE hawatalipa hiyo pesa kwa serikali ya Tanzania mapema iwezekanavyo basi watawapeleka kwenye vyombo vya sheria ni geresha tuu, kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wanaipaka matope nchi yao na serikali yao na mahakama yao kwa ujumla wake.
 
Hela zinarudi kwa wananchi ili kuonyesha serikali iko kazini
Toka lini serikali ya magamba ikarudisha hela kwa wananchi. Unakumbuka ile gea ya madawati mwanzoni? Ninaiogopa serikali hii kama ukoma
 
Toka lini serikali ya magamba ikarudisha hela kwa wananchi. Unakumbuka ile gea ya madawati mwanzoni? Ninaiogopa serikali hii kama ukoma

WEWE utakuwa huna utaifa wala utanzania

Serikali hii ni sikivu na inayojali wananchi
 
Back
Top Bottom