MPs demand BAE pays £30m to Tanzania immediately

Hongera sana Chama cha Mapinduzi. Hii fedha naomba itumike yote kwenye UMEME. SITAKI KUSIKIA MZEE BM YAKE IMECHAKAA AU SUTI ZIMEMBANA ANATAKA KUAGIZA NYINGINE. NASEMA UMEME TU NA BAADA YA HAPO TUANZE KUNUNUA VITU VINGINE HATA RADAR MPYA IKIBIDI KWA FEDHA ZETU NYINGINE. We Rais hakikisha zinanunua magenerator ya kila aina yaani ya gesi, ya upepo, ya jua na ijengwe power station Tunduma kupokea umeme toka South Africa.
 
kwa kukusadia soma post ya 30
Kimsingi wewe ndiye unayehitaji kusaidiwa eidha kukuelewesha maana ya neno DEMAND na linatofauti gani kiutendaji na neno ORDERED au tukusaidie usome content ya HABARI ULIYOIANDIKA
 
Hongera sana Chama cha Mapinduzi. Hii fedha naomba itumike yote kwenye UMEME. SITAKI KUSIKIA MZEE BM YAKE IMECHAKAA AU SUTI ZIMEMBANA ANATAKA KUAGIZA NYINGINE. NASEMA UMEME TU NA BAADA YA HAPO TUANZE KUNUNUA VITU VINGINE HATA RADAR MPYA IKIBIDI KWA FEDHA ZETU NYINGINE. We Rais hakikisha zinanunua magenerator ya kila aina yaani ya gesi, ya upepo, ya jua na ijengwe power station Tunduma kupokea umeme toka South Africa.

Mkuu unatupongeza kwa lipi, duh..safari bado ndefu sana.
 
Hongera sana Chama cha Mapinduzi. Hii fedha naomba itumike yote kwenye UMEME. SITAKI KUSIKIA MZEE BM YAKE IMECHAKAA AU SUTI ZIMEMBANA ANATAKA KUAGIZA NYINGINE. NASEMA UMEME TU NA BAADA YA HAPO TUANZE KUNUNUA VITU VINGINE HATA RADAR MPYA IKIBIDI KWA FEDHA ZETU NYINGINE. We Rais hakikisha zinanunua magenerator ya kila aina yaani ya gesi, ya upepo, ya jua na ijengwe power station Tunduma kupokea umeme toka South Africa.
Hilo sahau......... na sasa mtanyosheana vidole sana tu.............. Si umemsikia mwingine kasema tatizo la umeme ni la MKAPA..??? Na bado ........ katika hili kila mtu anaoneka ni gamba ndani ya CCM
 
Hongera sana Chama cha Mapinduzi. Hii fedha naomba itumike yote kwenye UMEME. SITAKI KUSIKIA MZEE BM YAKE IMECHAKAA AU SUTI ZIMEMBANA ANATAKA KUAGIZA NYINGINE. NASEMA UMEME TU NA BAADA YA HAPO TUANZE KUNUNUA VITU VINGINE HATA RADAR MPYA IKIBIDI KWA FEDHA ZETU NYINGINE. We Rais hakikisha zinanunua magenerator ya kila aina yaani ya gesi, ya upepo, ya jua na ijengwe power station Tunduma kupokea umeme toka South Africa.
Unawapa hongera wezi? Kweli kuna vichwa vingine vimejaa maji?
 
Wewe ndiwe unaehitaji kusaidiwa. Tangu lini "Demanded" ikawa na maana sawa na "Ordered"?

Demand Means

  1. (v. t.) The asking or seeking for what is due or claimed as due.
  2. (v. t.) A thing or amount claimed to be due.
  3. (v. t.) The act of demanding; an asking with authority; a peremptory urging of a claim; a claiming or challenging as due; requisition; as, the demand of a creditor; a note payable on demand.
  4. (v. t.) The right or title in virtue of which anything may be claimed; as, to hold a demand against a person.
  5. (v. t.) A diligent seeking or search; manifested want; desire to possess; request; as, a demand for certain goods; a person's company is in great demand.
  6. (v. t.) To require as necessary or useful; to be in urgent need of; hence, to call for; as, the case demands care.
  7. (v. t.) To ask or call for with authority; to claim or seek from, as by authority or right; to claim, as something due; to call for urgently or peremptorily; as, to demand a debt; to demand obedience.
  8. (v. i.) To make a demand; to inquire.
  9. (v. t.) To call into court; to summon.
  10. (v. t.) That which one demands or has a right to demand; thing claimed as due; claim; as, demands on an estate.
  11. (v. t.) Earnest inquiry; question; query.
  12. (v. t.) To inquire authoritatively or earnestly; to ask, esp. in a peremptory manner; to question
 
ORDER:-

[h=3]or·der/ˈôrdər/[/h]Noun:*The arrangement or disposition of people or things in relation to each other according to a particular sequence, pattern, or method.
Verb:*Give an authoritative direction or instruction to do something: "her father*ordered*her back home"; "the judge*ordered*a retrial"
 
Demand Means

  1. (v. t.) The asking or seeking for what is due or claimed as due.
  2. (v. t.) A thing or amount claimed to be due.
  3. (v. t.) The act of demanding; an asking with authority; a peremptory urging of a claim; a claiming or challenging as due; requisition; as, the demand of a creditor; a note payable on demand.
  4. (v. t.) The right or title in virtue of which anything may be claimed; as, to hold a demand against a person.
  5. (v. t.) A diligent seeking or search; manifested want; desire to possess; request; as, a demand for certain goods; a person's company is in great demand.
  6. (v. t.) To require as necessary or useful; to be in urgent need of; hence, to call for; as, the case demands care.
  7. (v. t.) To ask or call for with authority; to claim or seek from, as by authority or right; to claim, as something due; to call for urgently or peremptorily; as, to demand a debt; to demand obedience.
  8. (v. i.) To make a demand; to inquire.
  9. (v. t.) To call into court; to summon.
  10. (v. t.) That which one demands or has a right to demand; thing claimed as due; claim; as, demands on an estate.
  11. (v. t.) Earnest inquiry; question; query.
  12. (v. t.) To inquire authoritatively or earnestly; to ask, esp. in a peremptory manner; to question

Wow! So you are capable of this? Good boy, now do the same for the word "Ordered" and reconcile it with "Demanded".
 
mkuu hii ilianza zamani 2009

MMJ anaweza kukupa taarifa au google utapata

Na hili la stimulus Package!

Tupe orodha ya kampuni zilizopewa hizi fedha na ni kiasi gani kwa kila kampuni, then tutacheck na brela kujua wenye hayo makampuni.
 
HONGERA MEMBE AND MP NDUGAI
NAONA KAZI YA WANAJAMII FORUMS IMEGONGA MWAMBA

MPs have demanded that BAE Systems pay the Tanzanian government £29.5m in full and immediately - or face further legal action

The British defence company, which agreed 16 months ago to pay the sum as part of a settlement with the Serious Fraud Office, was accused by members of the International Development Committee of "procrastinating" and creating delays that amounted to a "complete sham".

BAE, whose sale of a radar system to Tanzania was the subject of an international corruption probe, said the settlement payment had been delayed because a court had to finalise the amount. The company, represented by Philip Bramwell, general counsel, and Bob Keen, head of government relations, said BAE had set up an "advisory board" to ensure the money reaches the best possible causes in Tanzania and was hoping to release the first £10m tranche "within weeks".

MPs, who held the "one-off session" as part of a wider probe into financial crime, retorted that the company had been ordered to pay a fine for serious fraud, "not to set up a charitable trust". They said they thought the advisory board was a "complete sham" that was merely wasting more time.

Richard Alderman, director of the SFO, told the Committee that BAE's handling of the payment to Tanzania was "unsatisfactory and frustrating". He agreed that BAE had to wait until the precise settlement had been finalised by a judge. But he said he was surprised that company had not put in place any contingency plans to make the payments - "there was nothing to proclude them for doing that". He backed MPs calls for BAE to make the payments quickly and said he was prepared to take the case "to the next stage" if he felt this was not going to happen.

Alan Duncan, the Minister for the Department of International Development (DFID), said he was also "baffled" by the reasons BAE had given for not paying the fine immediately.

SOURCE: THE TELEGRAPY

Diplomatically what would you expect from a political body to another?, sending gesture that they support each other. Hata Obama anajua kuwa JK hakuchaguliwa na wananchi lakini kwa kuwa diplomasia inamtaka aoneshe otherwise akamtuma Hillary kuja kutembelea TZ, hii ni kwa masilahi yao si kwa masilahi ya watanzania.

Hata siku moja sikutarajia bunge la uingereza kusema linaunga mkono maamuzi ya BAE katika kutumia NGO kufikisha hela za kuonesha wanajali watanzania baada ya kupakwa matope na serikali corrupt ya Tanzania iliyosababisha kutikisika kwa credibility yao. Kwa mtu yeyote mwenye mawazo finyu ataanza kushangilia kauli hii na hilo ndiyo lengo la bunge la uingereza kujiweka kando na sakata zima. Ni mahakama pekee inayoweza toa amri ya malipo haraka na mliokaa mkao wa kula mkaanza kushangilia. Corporate Governance in UK is really and practical, Kama BAE wamesema otherwise haitabadilika, Kama sera si kutoa pesa kwa serikali bali ni kutoa kwa charities basi hiyo imekula kwa CCM. Kwanza mnatutia aibu sana, tena sana yaani mnaharibu hali ya hewa na kulazimisha airfreshner mkabidhiwe ninyi ili kupuliza hewa ibadilike. Je watajuaje kuwa wakati wa kupulizia airfreshner hiyo hamtakuwa mnaendelea kutoa hewa chafu?.

BAE wanasababu kuu mbili za kutaka kutoa pesa kwa Charities
(a) Charitable deductions from tax. Kama watatoa kwa charity hiyo pesa itahesabiwa kama ni charitable donation na hivyo kuwa deducted from their taxable income, tofauti na kuipatia serikali ambayo haita qualify kuwa charitable donation. na Hivyo kuchukuliwa kama sehemu ya mapato inayotumika na kampuni hivyo hawatapata tax relief.
(Qualifying charitable donations made by a company are allowed as deductions from the company's total profits in calculating
the corporation tax chargeable for an accounting period.
Origin: ICTA s.338(1) ) http://www.hmrc.gov.uk/rewrite/cc_sc0907_charitable_don_rel_clauses.pdf

(b) Wakitoa pesa hizo kwa serikali corrupt na baadae ukaanza mgogoro na kashfa juu ya matumizi yake BAE bado itakuwa inaumiza jina lake. Kwani watashindwa kujitetea kuwa kwa nini serikali corrupt iliyoshindwa kuwafikisha corrupt official in court mkawaamini na kuwapatia pesa hiyo tena?
 
Hizi tunaanzishia Bank ya Wakulima mkuu, kilimo kwanza umeme baadaye.....lolz
Haaaa haaaa! Unanikumbusha ile TSh 74bn/- ambayo wezi wa EPA walizirudisha kimya kimya ambapo JK alidai iliwekwa kwenye akaunti TIB ili hatimaye "Benki ya Wakulima ifunguliwe!"
 
Back
Top Bottom