MPs demand BAE pays £30m to Tanzania immediately

najua mmeshidwa kwa nguvu zote maana kila siku mlikuwa mnajidai ooh email nimetuma kwa clara sasa umeona yamewatokea puaniMMJ hawezi kusema kitu maana kazi yake haijakubalika
Usishangilie kupata penati subiri kwanza ipigwe! Nafikiri MPs kazi yao ni kutoa maoni tu kwa serikali, then Serikali inatoa maamuzi ya mwisho! After all Mahakama ilishatoa Hukumu kwamba fedha £29.5 "zitumike kwa manufaa ya Watanzania" na sio kwamba "zirudishwe kwa Serikali ya Tanzania!" Sasa hapa kama Serikali yetu inataka hizo fedha sio kupitia Bungeni bali kurudi tena Mahakamani ili uamuzi wa mwanzo ubadilishwe au kukata rufaa! Sasa hapa kuna cha kushangilia?
 
Mkuu hiyo issue bado ni tete sana.

1. Mahakama ya uingereza imetoa hukumu kwamba BAE irudishe fedha za rada kwa wananchi wa Tanzania na siyo serikali ya Tanzania.
2. Bunge la uingereza haliwezi kubadili uamuzi au hukumu ya mahakama
3. Bunge na Mahakama za uingereza zote zinaigwaya BAE na ndiyo maana BAE walishinikiza kesi isikilizwe nje ya mahakama na baada ya hukumu (kurudisha hela kwa wananchi wa tanzania) waliamuru mahakama kufunga kesi na BAE wala mfanyakazi yoyote wa BAE asifunguliwe mashtaka.
 
Mkuu hiyo issue bado ni tete sana. 1. Mahakama ya uingereza imetoa hukumu kwamba BAE irudishe fedha za rada kwa wananchi wa Tanzania na siyo serikali ya Tanzania.2. Bunge la uingereza haliwezi kubadili uamuzi au hukumu ya mahakama3. Bunge na Mahakama za uingereza zote zinaigwaya BAE na ndiyo maana BAE walishinikiza kesi isikilizwe nje ya mahakama na baada ya hukumu (kurudisha hela kwa wananchi wa tanzania) waliamuru mahakama kufunga kesi na BAE wala mfanyakazi yoyote wa BAE asifunguliwe mashtaka.
Mkuu umeelezea kiutaalamu kabisa! Hapa huyu Jeykey anakoka moto wakati ndege hajampiga kwa manati mtini!
 
Hili linchi mtk sana. Sie tunachekacheka, nakumbuka enzi zile za tabia ya kupigana doleee.. ndo tunavyofanywa hivihivi
 
decision has been made no one can change it BAE has to pay Tanzania Gov

Usichojua ni kuwa BAE ni independent, haiwezi kuwa "ordered" na bunge wala chombo kingine chochote zaidi ya Mahakama (ambayo iliwaamuru BAE kuwalipa WANANCHI WA TANZANIA). Endelea kujidanganya kuwa kuna amri ya aina hiyo imetolewa.
 
kwa kukusadia

MPs have demanded that BAE Systems pay the Tanzanian government £29.5m in full and immediately - or face further legal action

MPs demand BAE pays £30m to Tanzania immediately - Telegraph
 
Hela zinarudi kwa wananchi ili kuonyesha serikali iko kazini
Hata hela ambazo zimeshaliwa kiaina kama za EPA, KAGODA, RICHMOND............. etc nazo zilitoka kwa hao hao na zikaliwa................ hivyo haitakuwa ajabu na hizi nazo zikiliwa.............. NA NINAKUHAKIKISHIA............... ZIKITUA TU..........ZINABEMENDWA
 
kwa kukusadia

MPs have demanded that BAE Systems pay the Tanzanian government £29.5m in full and immediately - or face further legal action

MPs demand BAE pays £30m to Tanzania immediately - Telegraph

Yaliyotokea London jana.

The DFID was in the view that they have a great respect of the Tanzania parliamentary scrutiny procedures, a growing investigative journalism and government collective responsibility. DFID said that if Tanzania is good enough to account for the* budgetary supplementary from the UK , then it must be good enough for the funds from BAE. Hon Alan Duncan, minister of state, DFID concluded by saying that the only people are good enough to handle this money are the people of Tanzania through their democratically elected government. The low side of this is that the parliamentary committee has no legal powers* on BAE in terms of specific performance.

Hapo kwenye rangi nyekundu bolded ndipo panapo maliza huu mjadala.

Hayo unayoongea ni maoni ya kamati ya bunge, lakini hayana nguvu za kubadili msimamo wa mahakama wala BAE kisheria.
 
Hata hela ambazo zimeshaliwa kiaina kama za EPA, KAGODA, RICHMOND............. etc nazo zilitoka kwa hao hao na zikaliwa................ hivyo haitakuwa ajabu na hizi nazo zikiliwa.............. NA NINAKUHAKIKISHIA............... ZIKITUA TU..........ZINABEMENDWA

kwa kukusadia soma post ya 30
 
kwa kukusadia MPs have demanded that BAE Systems pay the Tanzanian government £29.5m in full and immediately - or face further legal action MPs demand BAE pays £30m to Tanzania immediately - Telegraph
Hata Bunge la Tanzania huwa linatumia wording "tunaitaka Serikali" au "tunaiagiza Serikali ibadili uongozi wa juu wa TAKUKURU," Je, huko kuitaka au kuiagiza Serikali kumeifanya Serikali ibadili uongozi wa TAKUKURU baada ya Sakata la Richmond? Usiwe fooled na maneno ya Wabunge, elewa kazi ya Bunge nini! Only that!
 
Hata hela ambazo zimeshaliwa kiaina kama za EPA, KAGODA, RICHMOND............. etc nazo zilitoka kwa hao hao na zikaliwa................ hivyo haitakuwa ajabu na hizi nazo zikiliwa.............. NA NINAKUHAKIKISHIA............... ZIKITUA TU..........ZINABEMENDWA
Hivi kweli mbona Magamba hawakomalii kurudisha fedha za EPA, Meremeta, Kagoda, nk?
 
Back
Top Bottom