PSALM_1
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 289
- 100
hiyo ni ngumu kwake, sidhani kama ataweza kuweka wakala kwenye kila kituo cha kupigia/kuhesabia kura. L abda apate watu wengi wajitolee bure bure.Independent candidate mjomba!!!!
hiyo ni ngumu kwake, sidhani kama ataweza kuweka wakala kwenye kila kituo cha kupigia/kuhesabia kura. L abda apate watu wengi wajitolee bure bure.Independent candidate mjomba!!!!
Akigombea nitarudi TZ nijiandikishe kumpigia kura, anafaa kuliko wabunge wengi tu wa sasa ambao hawafanyi lolote.Wema Sepetu naye anataka kugombea KINONDONI!
He is bogus.... Hana jipya,
so issue si CHAMA wala JIMBO..... hana jipya...
atazidisha tu kuvaa vitenge, better abakie msanii
Bungeni si sehemu ya kudansi dansi.....
Tunataka wabunge CAPABLE, WENYE UWEZO WA KUJENGA HOJA... Elimu muhimu saana bungeni...
Na si usani usanii na uhuni tu .... hamna kitu hapa...
... signing out....
Jakaya has made politics so simple!
Lakini kwa nini kila mtu akiwa maarufu anakimbilia kwenye siasa? Kuna nini huko hebu wadau nisaidieni..
Mr.2,Rwakatale{mchungaji},Dokii, ...........
Ulafi wa utajiri,hakuna lolote
Tanzania tunayo sheria kuwa huwezi gombea bila kupitia chama cha siasa. Sasa kama anashindwa kutaja yuko chama gani, either ni mwongo au mtu mwoga asiye na msimamo anayepima upepo kwanza. Hatuhitaji watu wa aina hiyo.Wakuu..
Mjomba katangaza nia yakuingia kwenye siasa 2015..
Na keshaanza kupokea vitisho mbalimbali baada ya yeye kuonyesha nia!
Mjomba kuwa makini sana..
Siasa ni game..
A very dirty game...
Kumbuka hata Kanumba (r.i.p) aliwahi kuwa na mawazo kama yako..
Umefanya vyema kutokutaja mapema jimbo utakalo gombea wala chama utakachopitia..
Usisahau kuwa makini mjomba.
Angalia maisha yako na mipango yako iweke vyema...
Tanzania tunayo sheria kuwa huwezi gombea bila kupitia chama cha siasa. Sasa kama anashindwa kutaja yuko chama gani, either ni mwongo au mtu mwoga asiye na msimamo anayepima upepo kwanza. Hatuhitaji watu wa aina hiyo.
hata Le Mutuz atagombea tu ...
What a stupid conclusion. Hicho chama usichotaka ujulikane kuwa ni mwanachama wake kitakupitishaje kuwa mgombea wake? Yeye ni nani and what do you think is so special in him?Daah! kwa siasa za hapa kwetu..ni hatari haswa kwa mtu kama yeye kutaja jimbo au chama mapema..
akitaja atajiongezea maadui lukuki...