Mpoto kugombea ubunge

Mpoto kugombea ubunge

kuna hela kule.....!

ata mi nitagombea tu one time niniii......si unajua tena
 
EAC walimbwaga

Yeye hapo kuna uwalakini Sababu MTOTO wa Rais Mstaafu MWINYI alichaguliwa kuwa MBUNGE EAC; Mtoto wa Makamu wa Rais - Mr. BILAL alichaguliwa kuwa MBUNGE EAC

Ulisikia MADARAKA NYERERE alivyosema kama sio wabunge wa UPINZANI asinge pata UBUNGE EAC; Wabunge wa CCM sio wote waliompigia kura na Walijua Maisha yake kifedha hayakuwa Mazuri hivyo campaign yake hakuweza kuwapa pesa za chai hao wabunge wampe kura...

* Hapo ndio unaangalia deep inside - Unaona JK Nyerere alipofariki aliwaacha wanae kwa Watanzania - Hakumpa nyumba ya kifahari kama Dr. Mwinyi waziri wa AFYA aliyonayo MIKOCHENI; au RIZONE aliyopewa na BABA yake Rais KIKWETE huko MIKOCHENI pia... ni MAHEKALU ndio hapo unaanza kujiuliza LOLIONDO vije? Waarabu wanamiliki karibia nusu ya eneo hilo na kutupa nje wamasai wote...

Kweli Nyerere alikuwa na kasoro zake lakini nini alichojilimbikizia? Lakini serikali hii ya awamu ya NNE inawafanya watoto wake wauone uraia ni kama jangwa... alishindwa vibaya kugombea kiti chake cha Uenyekiti wa Mkoa wa Mara; Lakini kama Rais Kikwete ambaye ni Mwenyekiti ameweza kuwaingiza Mkewel Mwanae; Kaka yake; Dada yake wote Ndani ya NEC kwanini angalau mtoto wa JK NYERERE?

*** SO LE MUTUZ labda ndio issue hiyo hiyo HATE FROM WITHIN...
 
What a stupid conclusion. Hicho chama usichotaka ujulikane kuwa ni mwanachama wake kitakupitishaje kuwa mgombea wake? Yeye ni nani and what do you think is so special in him?

Mkuu Hapa bongo wanasiasa wanalinda nafasi zao kwa nguvu zote...
hata kwa gharama ya Damu!
 
Kama Sugu mbunge hata watoto watauweza huo ubunge watafute riziki
 


Ulisikia MADARAKA NYERERE alivyosema kama sio wabunge wa UPINZANI asinge pata UBUNGE EAC; Wabunge wa CCM sio wote waliompigia kura na Walijua Maisha yake kifedha hayakuwa Mazuri hivyo campaign yake hakuweza kuwapa pesa za chai hao wabunge wampe kura...


Mkuu,ni Makongoro Nyerere,sio Madaraka. Yeye,alishasema siasa za nchi yetu,zimemshinda!!
 
Inasemekana hata Jokate Mwegelo anampango wa kugombea.
Bado Diamond na demu wake Irene Uwoya,wao hatujasikia tetesi wakitangaza nia.
 
Jk kafanya kila kitu kimekuwa rahisi
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1365830745.741413.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1365830745.741413.jpg
    54.8 KB · Views: 42
huyu Jamaa kama akigombea hapa Jimboni Kwangu Kupitia Chama chochote mi Nampa Kula YaNgu!!!
 
Back
Top Bottom