Mpoto kugombea ubunge

Mpoto kugombea ubunge

Lakini kwa nini kila mtu akiwa maarufu anakimbilia kwenye siasa? Kuna nini huko hebu wadau nisaidieni..
Mr.2,Rwakatale{mchungaji},Dokii, ...........
Bungeni hakuna kuwaza. Mtu anaangalia upepo unaelekea wapi na kuufuata. Ndiyo maana wengine wanachapa usingizi wakiamka wadai wanaunga mkono hoja asilimia Mia moja
na posho ya siku hiyo anachukua.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
lazima tukubaliane kwamba ni woga ndio unaomyima mtu kutaja chama chake! Big cowardice
 
Lakini kwa nini kila mtu akiwa maarufu anakimbilia kwenye siasa? Kuna nini huko hebu wadau nisaidieni..
Mr.2,Rwakatale{mchungaji},Dokii, ...........
Kunalipa. Kama nchi, tumewekeza kwenye siasa
 
sasa kama hajataja chama,,, huyo bado anaimba nyimbo zake.........
 
badala ya kujadili hoja watu mnajadili ujinga suala hapa kasema atagombea sasa masuala ya kejeli yanatoka wapi?
acheni umbea nyie
 
Back
Top Bottom