Mpoto kugombea ubunge

Mpoto kugombea ubunge

Natabiri mwaka2015 wasanii wengi sanawataingia kwenye kinyanganyiro cha ubunge nafikiri Sugu amefungua njia
 
Wana JF acheni ushabiki usiokuwa na tija " Kama ------ amakuwa mkuu wa kaya basi kila mtanzania aweza kuwa kiongozi"
 
Tatizo la watz, ni WOGA. hawapendi kuwa wazi, juu ya msimamo wao mapema, kama wako chama tawala au la. Watu wa waoga si wa kutegemea katika kuleta maendeleo.
 
Wema Sepetu naye anataka kugombea KINONDONI!

Mbona kuna mtu kasema kuwa huyu kwenye RED anaenda kondoa kumwondoa Nkamia!! ?? ama mnawazushia lakini ni sawa tu baada ya chuo cha chama kivukoni kufa sasa kila mtu anaweza kuwa Mbunge/ Mkuu wa Wilaya / Mkoa kila kitu Ruksa
 
Tatizo Watanzania kwa sasa wanafikiri siasa ni ajira katika maisha yao...........kweli siasa kwa sasa zimeingiliwa............sitashangaa hata wale wanaojipambanua sana hata JF nia yao nao ni kama ya Mpoto, kutaka kujulikana kwanza ili kesho watundike majina yao kama wagombea Udiwani na Ubunge na hata Urais.............kweli demokrasia imepata wenyewe...........ONLY IN TANZANIA.
 
Yule muuza UNGA aliyekamatwa na dada yake Italy Munde Tambwe (Tabora CCM) ni mbunge itakuwa Mpoto!!

Kwa wale wenzangu wa Tabora Munde Tambwe kabla ya kuupata UBUNGE alikuwa DADA POA pale Tabora Orion Hotel. Hawa ndiyo watunga sheria wetu no wonder ndio maana wanachua SHERIA MKONONI kama MA-RUMPEN Ref Rage, Nyambari, Mtanda, Chitanda, Jafo kumshambulia kwa mawe na miti mfuasi wa CDM jana Dodoma.
 
Toka alivyong'ang'ania wimbo wa "Mjomba" kuwa ni wake ilihali ipo wazi kuwa alishirikishwa tu, huyu jamaa amenitoka kabisa......

Ni tapeli kama matapeli wengine tu!
 
90% ya wanajf wanaweza kuwa wabunge, kwani ubunge ni nini? wameweza Nasali na Silinde fresh from school atashindwa nani?
Hoja sio kuwa mbunge kwani hata wanaolala bungeni ni wabunge. Hoja ni kuwa na impact ukiwa mbunge. Mfano Dewji ni mbunge kutoka Singida na Lisu ni mbunge kutoka Singida na wote wanahudhuria bunge, ni wasomi wazuri wote, lakini tofauti ya wabunge hawa wawili kila anayeangalia bunge anaijua. Mmoja yupo kimya anafanya kazi kwa kuwaendea serikali maofisini na kutekeleza ahadi zake, mwingine anaongea bungeni na kutetea maslahi sio tu ya wanasingida bali ya nchi kwa ujumla na tunaona. Je unataka kuwa mbunge wa aina ipi?
 
Bila kutaja chama wala jimbo namuona ni mbabaishaji , labda ndo nauli aliyokuwa anaisema hiyo
Mkuu ni haki yake kikatiba kugombea. Lakini pia kutokutaja jimbo wala chama mapema ni strategy, ili kuchanganya maadui, kwahivi, brother yupo sahihi kabisa.
Hata hivyo kwa hali ilivyo sasa, nani anaweza kushindwa kuongoza?
 
Mtarajiwa huyo Ruvuma huko!!!!!!!!!! sio kwa kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI chama anajua mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!
nahisi itakuwa ni ruvuma ya tunduru,kwa kule kwetu mbinga hana ubavu.kuna vijana wasomi wanapiga jaramba kumpokonya tonge mdomoni mzee wa mapambio - komba.
 
Huna raha mpaka umsome Zomba? nawatakia kheri hao wagombea, wakijaaliwa kufika huko wamsalimie mbunge mahiri sana kuliko wote bungeni almaaruf Sugu.
ebhanee kaka kumbe unamkubari jembe.leo umenifurahisha.
 
Bila kutaja chama wala jimbo namuona ni mbabaishaji , labda ndo nauli aliyokuwa anaisema hiyo

no anajua kuwa katiba inaenda kuruhusu mgombea binafsi hivo atagombea kwa muktada huo!!
 
Back
Top Bottom