Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,129
- 4,285
Siasa zimekuwa nyepesi sana kila mtu anataka ubunge hata Mwita Maranya, Mohamedi Mtoi, hawa nao wanataka ubunge.
CC. chama,
Hivi wewe unadhani Mwita Maranya na Mohamedi Mtoi ni watu wepesi vichwani mwao? Hebu angalia hoja wanazotoa humu JF na uzipime. Mkuu hawa 2 wakifika bungeni kila mmoja atatoa hoja ambazo zinaweza kuwa sawa na vichwa 20 vya wabunge wa ccm wa viti maalum na wabunge 10 hivi wa majimbo. Ukubali usikubali huo ndio ukweli.