tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
Katika hafla fupi ya kuapishwa kwa Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa wziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyofanyika leo November 14, 2025 jijini Dodoma, Mwanamashairi na msanii maarufu kwa kughani Mrisho Mpoto ameonekana katika hafla hiyo akitumbuiza kwa kueleza sifa za Rais Samia.