Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 2,509
- 7,638
Acha masikhara mkuuSasa mtu mzima kam huyo Mpoto anakesha gateway kijichi pub kununua malaya. Hivi unafikiri kichwani kutakua na akili ya kuongea lolote la maana
Acha masikhara mkuuSasa mtu mzima kam huyo Mpoto anakesha gateway kijichi pub kununua malaya. Hivi unafikiri kichwani kutakua na akili ya kuongea lolote la maana
Basi hana Akili wala Busara..., Ni kama mtu unakwenda kutoa posa (kuchumbia) kwenye msiba (hata kama ni kweli mchumba anakupenda) let alone hakupendi...., Hii sio tu kwamba ni uongo (Samia sio Profesa wa Uchumi) bali hata wakati na muda sio muafaka wa kusema hayo....Ameyasema masaa matatu yaliyopita
Uliza wanaoendaga kumwagilia moyo gateway annex, ipo kijichi. Anakuaga uyo anacheza kamali ya pool table chini yupo peku peku. Akishakunywa konyagi zake anaondoka na malaya. Halafu kwenye msiba wa mkewe alivyokua anajiliza kinafki sasa.!Acha masikhara mkuu
Mkuu CCM wanapenda watu ambao hawana akili,Basi hana Akili wala Busara..., Ni kama mtu unakwenda kutoa posa (kuchumbia) kwenye msiba (hata kama ni kweli mchumba anakupenda) let alone hakupendi...., Hii sio tu kwamba ni uongo (Samia sio Profesa wa Uchumi) bali hata wakati na muda sio muafaka wa kusema hayo....
Wazazi fundisheni watoto wenu stadi za maisha sio kutegemea uchawa huyo mpoto namuonea huruma anachofanya vijicent anavyopewa siku wakimkata miguu yake anayotembelea peku na kuchoma kanyumba kake Hadi huruma
Alooo, alafu mtu kama huyo ndio anapewa nafasi ya kutumbuiza kwenye hafla za ikulu, Logikos njoo muone kaka yakoUliza wanaoendaga kumwagilia moyo gateway annex, ipo kijichi. Anakuaga uyo anacheza kamali ya pool table chini yupo peku peku. Akishakunywa konyagi zake anaondoka na malaya. Halafu kwenye msiba wa mkewe alivyokua anajikiza kinafki sasa.!
Huyu jamaa ndio alikuwa Mjomba - Nikipata Nauli kwahio sio ukosefu wa Akili ni kujitoa ufahamu na amefikiwa Bei - Penye Udhia Rupia Imepenyezwa, huenda Nauli alipata na akafika akaribishwa mezani na kusahau alichokifuataMkuu CCM wanapenda watu ambao hawana akili,
Wanawaombeleza maGeZ waliouwawaNi msibani hapo? Mbona watu wana huzuni hivyo.