Bambanza jr.
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 355
- 36
madaktari c walimu!ile kawaida ya serikali kupigia porojo tatizo kwa matumaini ya watu kusahau after few days kisha bussines kuendelea as usual sasa itawatokea puani
dakta umenena lazima tueshimiane kdogo.Jk aache uboya bila kumfukuza bwana mponda na mama nkya atajuta kutufahamu
madaktari c walimu!
Katika kikao cha madaktari ambacho kinaendelea katika ukumbi wa water front wametoa rasmi tamko la kuendelea na mgomo ifikapo j'5 saa2 asbh kama baadhi ya maazimio yao hayatakuwa yametekelezwa na serikali, suala la kuondolewa kwa waziri wa afya na naibu wake ndo lililopewa nafasi kwan madaktari wanadai hao ndo kikwazo kikubwa, hivyo kufikia j'5 mponda na nkya waondolewe.....!
ngoja tuone misuli ya madaktari walisotea na huyo alyepewa kama heshima!JK hatowatimua kazi hao wawili kama mnavyodhani.Wait...
madaktari c walimu!
Hiari yashinda utumwa. Mponda na Dr. Nkya mngeondoka kwa hiari yenu mgehesabika kama waungwana lakini kinga'ng'anizi chenu mtaondoka kwa aibu. Serkali nayo tabia ya kulazimisha mambo ni hatari hasa ukizingatia kuwa hamna silaha nyingine yoyote mukiingia vitani na madaktari. Silha ya madaktari ni wagonjwa na kila siku wapo. Ni sawa na ugomvi wa baba na mama, mama akizidiwa na baba anahamishia ugomvi kwa watoto. Na ole wake, mtoto mwenyewe awe wa kambo. Ataeleza kilichomnyoa shingo kanga. Hawa ndiyo wagonjwa wa tz, tutakoma kisa Mponda na Nkya.
Lakini madaktari wakidekezwa, wakiisha jua kuwa ni Hot cake watakuwa ndiyo decision makers wa kila jambo maadamu fimbo yao ni maisha ya watu. Ukiwagusa tu! Hamna akili nyingine ni kugoma. Mwonja asali daima huchonga mzinga.