Mpoki a.k.a Bepari la kihaya

katika vitu vinavyonifanya niache kuangalia kipindi cha origino komedi ni huyu jamaa anayeitwa mpoki, ile tabia yake ya kujifanya iko na hela nyingi na kutajataja watu majina inanikera sana na naona kama inatudhalilisha sisi wahaya au kijana akitoka ktk kipindi anaenda kulipwa kwa kuwarusha hao watu hewani????

hahaaaaa ka vipi we IPOTEZEEE tu MAZEE
 
Hongera Mpoki kwa kufikisha ujumbe. Naona kondoo wa manyoya wameanza kuzizima.
 
tupendage vya kwetu wajameni,tuwasaidie kwa mawazo wasiposkia ni juu yao,hao comedians wanapitia foolish age ya mafanikio ambapo pia kuna mawili wabadilike au na wao wafulie na nguo kuibwa kabisa!!!!!
 
Kumbe Mhe. Mudhihiri mbunge wa Mchinga akukosea na ile kauli yake eeh! Walioguswa wameanza kujisema wenyeweee
 
Pumbaffff.... Na Pumba zenu Walipokuwa EATV Wakitania Wapemba Walikuwa wazuri Leo Wapo TBC1 Kuwageza Wahaya wamekuwa sio Wabunifu Mmelazimishwa kuwaangalia

At least walipokuwa ITV wakiwatania Wapemba walikuwa funny lakini now days mmmmhhh!
 
tupendage vya kwetu wajameni,tuwasaidie kwa mawazo wasiposkia ni juu yao,hao comedians wanapitia foolish age ya mafanikio ambapo pia kuna mawili wabadilike au na wao wafulie na nguo kuibwa kabisa!!!!!

Mijitu mingine foolish kabisa, yaan katika fonts zote umechagua hii?utatupeleka wewe CCBRT?nikiwa modereta siku moja mijitu kama hii server ban kabisa, eboh! sijui imetoka wapi kuja kuharibu amani hapa barazani.
 
Jiulizeni kwanza kabla ya kumshambulia huyo jamaa, (in Muhaya) na inawezekana hakuna jina lolote kutoka kwenye ukoo wake linalotajwa na Mpoki, kinamwuma.
 
Mijitu mingine foolish kabisa, yaan katika fonts zote umechagua hii?utatupeleka wewe CCBRT?nikiwa modereta siku moja mijitu kama hii server ban kabisa, eboh! sijui imetoka wapi kuja kuharibu amani hapa barazani.

mie mwenyewe niliona kama kijapan vile.....
 
Ukiiona inaku-bore si uiache?? kwani lazima hata sisi ndani ya jamii forum utwambie? kama alivyosema jamaa hiyo ni comedy.... na mabo ya comedy si lazima yakufurahi wewe kama individual!!! wapo watu wanchwka mpaka wanapta usingizi, then wana yaacha hapo hapo... na wewe ukiangalia yakikuudhi hulazimishwi.. acha......
 
style anayoitumia mpoki wa origino komedi, ile ya kujifanya iko na hela nyingi na kutajataja watu majina inanikera sana na naona kama inapunguza radha ya kipindi na kutudhalilisha sisi wahaya au kijana akitoka ktk kipindi anaenda kulipwa kwa kuwarusha hao watu hewani????

tutakuitia Asha Ngedere, kwikwikwikwi
usirudie tena
 
style anayoitumia mpoki wa origino komedi, ile ya kujifanya iko na hela nyingi na kutajataja watu majina inanikera sana na naona kama inapunguza radha ya kipindi na kutudhalilisha sisi wahaya au kijana akitoka ktk kipindi anaenda kulipwa kwa kuwarusha hao watu hewani????

Duh watu wabaya sana, jinsi walivyokuchana kwenye hii mada yako........kama vile hawakujui mkuu!
 
Hapa ndipo msawahili anapokosa mwelekeo, hutaki basi sio lazima uangalie. Sawa na kumpeleka mwanao shule ya private (kulipia) kesho unanyanyua bango kuwa karo iko juu, shule haijali walalahoi. Je hiyo inakujaje? Peleka pale kwa walalaHOI wenzako. Ze Comedi wanabore, je, lazima uangalie hapo au TV ni ya jirani, unalazimishwa kuangalia channel usiyoitaka. Pole nyote wenye ">>>>>" kama alivyosema rais mstaafu BM.
 
mie jamani naipenda sana ze -comedy kama sina cha kufanya nawachi napata kucheka naongeza siku za kuishi wale mnaoona hakuna ubunifu tafutena namna ya kuwasaidia ili palipo na mapungufu paongezwe
 
Wabongo bwana!!! Msitake ncheke. Yaani kipindi chenyewe "the comedy" bado mtu anahisi kujinyanyapaa mwenyewe eti mpoki anajifanya mhaya mwenye pesa. That's just comedy man! Au wewe comedy ni ya wazungu tu kama mr. bin? Vitu simple havipandi. British Council ipo kwa ajili ya watu kama wewe JojiPoji, kasome nahisi vocabulary yako ni tepetepe sana!

baeleze ...kama hawataki kuangalia ze comedy si watazame hiyo futuhi..kama hawaipendi sisi tunaipenda
 
Mijitu mingine foolish kabisa, yaan katika fonts zote umechagua hii?utatupeleka wewe CCBRT?nikiwa modereta siku moja mijitu kama hii server ban kabisa, eboh! sijui imetoka wapi kuja kuharibu amani hapa barazani.

Mie niliona kama commedy tu,nikaipiga chini nikasoma comment za watu wengine. Kama unapoamua kuwatosa commedy na kuangalia movy za akina Kanumba
 
Kinachonisikitisha kutoka kwenye Komedi original ni ile style yao ya kuwacheka watu ambao biashara zao zimeyumba kuwa wamefulia. Hata uchumi wa nchi huwa unayumba sembuse mtu mmoja. Wasiwasi wangu ni kuwa msemo huu utakuja kuwasuta hapo baadaye watakapofulia manake sio sustainability yao beyond 5-10yrs kuanzia sasa.
 
style anayoitumia mpoki wa origino komedi, ile ya kujifanya iko na hela nyingi na kutajataja watu majina inanikera sana na naona kama inapunguza radha ya kipindi na kutudhalilisha sisi wahaya au kijana akitoka ktk kipindi anaenda kulipwa kwa kuwarusha hao watu hewani????
Mpoki naye ni mhaya, sidhani kama yuko tayari kujidhalilisha kwa namna yoyote labda kwa bahati mbaya sana bila hata yeye mwenyewe kujua. Kuwa wazi anawadhalilisha kivipi? Otherwise mi naona ze komedi kiburudani iko bomba tu.
 
Mpoki punguza kutaja majina ya watu kwani walio wengi hawapendi.

Hacha kuonesha nikiasi gani hauko styled up. try to disign some thing else coz we are getting used of the stuff you talk every day.

People stop critisizing them just advise them on what to do ok.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom