Mpoki a.k.a Bepari la kihaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpoki a.k.a Bepari la kihaya

Discussion in 'Celebrities Forum' started by JoJiPoJi, Sep 16, 2009.

 1. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  style anayoitumia mpoki wa origino komedi, ile ya kujifanya iko na hela nyingi na kutajataja watu majina inanikera sana na naona kama inapunguza radha ya kipindi na kutudhalilisha sisi wahaya au kijana akitoka ktk kipindi anaenda kulipwa kwa kuwarusha hao watu hewani????
   
  Last edited: Sep 17, 2009
 2. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Mkuu yaani bado unapoteza muda wako adimu kuwaangalia watu waliokosa ubunifu na kitu chakufanya.Tafadhali Jojipoji angalia vipindi vingine au jiunge na Dstv wanapakage za bei ndogo sana nadhani chini $ 10 kwa mwezi.

  TV station za Tanzania zinabore sana wakati mwingine mtu unakuwa huna ratiba ya kupata moja baridi lakini unalazimika kunywa kukwepa vipindi vibovu kupita kiasi.
   
 3. m

  mdau2009 Member

  #3
  Sep 16, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tv za kibongo cheche sana.
   
 4. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2009
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Nashauri uangalie comedy ya FUTUHI inayornushwa na Star TV; angalau yenyewe inatayarishwa kibunifu. Anayeigiza nafasi ya Mwanamke ni LADY na anayeigiza nafasi ya Mwanamme ni GENTLEMAN. Otherwise subscribe DSTv upate program bomba nyinigi tu; mfano cartoons, African dramas, wildlife, natural sciences, etc!!!
   
 5. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hizi tabia za kuponda kila kitu vijana wetu wanafanya inakera sana, na ndio maana wasanii wetu wanashindwa kuendelea coz wanakosa backup from home!

  Mi siamini eti hakuna vipindi vizuri kny TV zetu hapa bongo km TBC, itv etc....Ze comedy, yes inaweza kuwa na mapungufu....bt ni nzuri......kama ww mmoja huipendi bac kuna wtv kibao wanaipenda...kudhibisha hilo kesho alhamisi pita sehemu za bar zenye tv mitaa ya saa kumi na mbili jioni, na pia vijiweni huko uswaz etc uone watu walivyojazana humo wakiburudika....!

  Tunakasumba mbovu sana ya kusifia vya wenzetu tu, vya vyeku atasifia nani? Tumempnda sana Kayumba, tuliponda sana Maisha Plus, tunaponda sana waigizaji wafilamu etc why? tunakimbilia filamu au programs za DSTV ambazo zimetengenzwa tena kny nchi za Africa hapa hapa with more or less similar mazingira....na ndiko tunaona ni bora na kukandia sana vya kwetu.....hii tabia si nzuri kabisa! Charity should begin at home bana!

  We mtoa mada kwa akili yako unafikiri Mpoki yale anayosema yanaukweli wowote e.g ana watoto wanasoma Ulaya ...day, anafanya massage Brazil....etc etc? ule ni just usanii......tu na kufurahisha wanajamii! Na kumbuka kuna ukweli fulani kwamba wahaya walio wengi huwa wanapenda sana kujisifia kwamba wana maisha bora na wana uwezo sana kifedha......so this guy is just trying to potray that full stop!
   
 6. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,356
  Likes Received: 3,123
  Trophy Points: 280
  hiyo ni sataili tu si lazima iwe kweli........
  vumilieni tuuuuuuuuu>>>>>>>>>>>>>>>>>
   
 7. Keen

  Keen JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 620
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wabongo bwana!!! Msitake ncheke. Yaani kipindi chenyewe "the comedy" bado mtu anahisi kujinyanyapaa mwenyewe eti mpoki anajifanya mhaya mwenye pesa. That's just comedy man! Au wewe comedy ni ya wazungu tu kama mr. bin? Vitu simple havipandi. British Council ipo kwa ajili ya watu kama wewe JojiPoji, kasome nahisi vocabulary yako ni tepetepe sana!
   
 8. S

  Semjato JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2009
  Joined: Jun 26, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ahsante sana mkuu..kama we ni mhaya na unakereka fahamu unachukulia suala personal.anafanya anachofanya na kama anakukera ujumbe umefika zaidi.
   
 9. S

  Semjato JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2009
  Joined: Jun 26, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ahsante sana mkuu..kama we ni mhaya na unakereka fahamu unachukulia suala personal.anafanya anachofanya na kama anakukera ujumbe umefika zaidi.
   
 10. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2009
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Pumbaffff.... Na Pumba zenu Walipokuwa EATV Wakitania Wapemba Walikuwa wazuri Leo Wapo TBC1 Kuwageza Wahaya wamekuwa sio Wabunifu Mmelazimishwa kuwaangalia
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ulitaka afanyaje?
   
 12. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  jamani mlikwishaambiwa ukitaka iangalie, usipotaka ipotezee, maana huwalipi wala hawakusaidii chochote, habari ndio hiyo sio kupionda kwani umelazimishwa kuangalia?
   
 13. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #13
  Sep 17, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,578
  Likes Received: 3,876
  Trophy Points: 280
  com·e·dy (kŏm'ĭ-dē) [​IMG]
  n. pl. com·e·dies

   1. A dramatic work that is light and often humorous or satirical in tone and that usually contains a happy resolution of the thematic conflict.
   2. The genre made up of such works.
  1. A literary or cinematic work of a comic nature or that uses the themes or methods of comedy.
  2. Popular entertainment composed of jokes, satire, or humorous performance.
  3. The art of composing or performing comedy.
  4. A humorous element of life or literature: the human comedy of political campaigns.
  5. A humorous occurrence
  hamna utani wa makabila uko kwenu?, comedy ni maigizo ndugu, acha kuumiza kichwa
   
 14. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,716
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  waacheni wanaotaka kuangalia komedi waangalia na nyie wazungu mamboleo angalieni Dstv muwatajirishe makaburu.
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahahahaha duh wewe JojiPoji na wewe kituko kweli unakereka nini hupendi utani?
  Kama hupendi ndo maana Masanja anakwambia jipotelee hakulazimishi kuangalia humlipi.
   
 16. GP

  GP JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  wajina hili ni jibu, ilobakia ni kupigia mstari tu kama ifuatavyo:
  kijana akitoka ktk kipindi anaenda kulipwa kwa kuwarusha hao watu hewani
   
 17. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #17
  Sep 17, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Wahaya nao wanavyopenda kujisifu!

  Hongera 'bepari' Mpoki, MESSAGE DELIVERED!
   
 18. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #18
  Sep 17, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wapewe ushauri ili waweze kuboresha kipindi chao endapo hawatakubali ushauri wa kiufundi na kitaalam basi tuwaponde . Hata hivyo hawa jamaa lazima wapoteze umaarufu kwani style yao ni ile ile tangu EATV. Hawana ubunifu.
   
 19. S

  Semjato JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2009
  Joined: Jun 26, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  ni wajina wako ama ni wewe mwenye jina lenye mabadiliko kidogo mkuu?
   
 20. General

  General Member

  #20
  Sep 17, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  The sketch is funny, atanie tu makabila anayopenda
   
Loading...