Mpira wa bongo unachekesha sana. Cheki hii ya Singida BS na Mbeya City

Tuache ushabiki maandazi. Huwezi kusema haikuwa penati Kwa ushahidi wa hii video ya Azam maana haiko clear kama hakuguswa. Vile vile kama unasema goli la pili ni offside basi Bora ushabikie rede.
Mkuu acha upofu
 
Makosa yanayofanywa na Azam tv ni kutia mkazo/nguvu ya video kwenye mechi kati ya simba na Yanga, ukiangalia setting za camera zinazofanywa kwenye mechi kati ya simba na Yanga ni tofauti kabisa na mechi zingine. Yani hizi mechi zingine hasa zinazofanywa nje ya Dar aisee haiziridhishi.

Viwanja vya mikoani huwezi fananisha na uwanja mkubwa wa Mkapa, ulijengwa kwa standards zote ikiwemo kukidhi posts za ufungwaji kamera...
 
Sioni shida ya magoal zaidi yule beki ndio kacheza kama beki za miaka ya 80 huko huwezi kurusha panga kama lile siku hizi maana any touch ni penalty na goal la pili ni goal zuri tu kama offside kuwa mtu katokea sehemu ya kuotea na kupokea mpira inawezekana lakini huku wenzetu wana VAR lakini pia wanabishana baada ya VAR kwa hiyo mshambulaji anapewa advantage ikiwa kuna mashaka ni magoal mazuri tu haikuwa makosa ya wazi kusema magoal ya mchongo hapana sio kweli. chuki za Tozo tusiunganishe na Singida united
 
Tatizo huu uzi umeingiliwa, yaani badala ya kujadili hoja iliyoletwa kwa mustakabali wa mpira wetu, tunaaza kulingaisha eti ipi bora. Huu ujinga wa usimba na uyanga utatufikisha pabaya.

Sisi mashabiki wa giant teams tupunguzi hisia na uhasama kati ya team zetu, maana tunaonekana wote wajinga kumbe kuna mapung'alo wachache ambao vichwa havina ubongo bali vimejaa makamasi ndo wanaotuharibia mpira wetu.

Hatuwezifika mahali. Mimi pia nimeona magoli yote mawili ya SBS yanakasoro.

Faulo ya penalty: mshambuliaji ali-dive na haikustahili kuws penalty bali kadi ya njano.

Goli la pili: Aliyetoa pasi ya mwisho alikuwa offside wakati anaipokea hiyo pasi. Hivyo mwamuzi msaidizi alipaswa kuamuru offside hata kabla hajatoa pasi ya goal.
 
Hawa Singida wanalazimishwa kuwa juu lakini hawana mpira wowote wa kutisha, refa alivyokosa akili na kadi ya njano akatoa kwa mchezaji anayelalamikia uamuzi wake wa hovyo.
 
Tuache ushabiki maandazi. Huwezi kusema haikuwa penati Kwa ushahidi wa hii video ya Azam maana haiko clear kama hakuguswa. Vile vile kama unasema goli la pili ni offside basi Bora ushabikie rede.
Yaani nimeshangaa sana mtu anasema magoli ni ya mchongo..!! Hakuna goli la mchongo hata moja..!! Nashangaa sana offside ipo wapi kwenye goli la pili? Kweli akashabikie REDE, maana haina offside
 
Tatizo huu uzi umeingiliwa, yaani badala ya kujadili hoja iliyoletwa kwa mustakabali wa mpira wetu, tunaaza kulingaisha eti ipi bora. Huu ujinga wa usimba na uyanga utatufikisha pabaya.

Sisi mashabiki wa giant teams tupunguzi hisia na uhasama kati ya team zetu, maana tunaonekana wote wajinga kumbe kuna mapung'alo wachache ambao vichwa havina ubongo bali vimejaa makamasi ndo wanaotuharibia mpira wetu.

Hatuwezifika mahali. Mimi pia nimeona magoli yote mawili ya SBS yanakasoro.

Faulo ya penalty: mshambuliaji ali-dive na haikustahili kuws penalty bali kadi ya njano.

Goli la pili: Aliyetoa pasi ya mwisho alikuwa offside wakati anaipokea hiyo pasi. Hivyo mwamuzi msaidizi alipaswa kuamuru offside hata kabla hajatoa pasi ya goal.
Agh wapii..!! Huwezi nikomvisi offside
 
Makosa yanayofanywa na Azam tv ni kutia mkazo/nguvu ya video kwenye mechi kati ya simba na Yanga, ukiangalia setting za camera zinazofanywa kwenye mechi kati ya simba na Yanga ni tofauti kabisa na mechi zingine. Yani hizi mechi zingine hasa zinazofanywa nje ya Dar aisee haiziridhishi.
Fuatilia vizuri ni mechi zote zikiwemo za simba na yanga marudio mengi ya matukio yanakuwa sio clear.
 
Tuache ushabiki maandazi. Huwezi kusema haikuwa penati Kwa ushahidi wa hii video ya Azam maana haiko clear kama hakuguswa. Vile vile kama unasema goli la pili ni offside basi Bora ushabikie rede.
We c unaona hata mwanguko wake ni wa kitapeli kabxaa..mtu kwanja lishapigwa na umeliruka afu baada ya kuona hatoweza kuupiga mpira akaamua kujiangusha
 
Goli la pili: Aliyetoa pasi ya mwisho alikuwa offside wakati anaipokea hiyo pasi. Hivyo mwamuzi msaidizi alipaswa kuamuru offside hata kabla hajatoa pasi ya goal.
Hakuwa offside, kumbuka ameipokea pasi kisha akaenda nyuma kidogo, hakupokea pasi kisha akakimbia mbele.
 
Tuache ushabiki maandazi. Huwezi kusema haikuwa penati Kwa ushahidi wa hii video ya Azam maana haiko clear kama hakuguswa. Vile vile kama unasema goli la pili ni offside basi Bora ushabikie rede.

Haikua penalty, jamaa kamu win mwamuzi ndicho tunachoweza kusema. Ama kuhusu goli la pili sioni kama kulikua na offside, ni goli halali
 
Viwanja vya mikoani huwezi fananisha na uwanja mkubwa wa Mkapa, ulijengwa kwa standards zote ikiwemo kukidhi posts za ufungwaji kamera...
Aina ya uwanja pia ni muhimu lkn sio ishu sana ukija upande wa settings za camera, simba/Yanga wakicheza na timu tofauti hapo hapo kwa Mkapa bado setting ni tofauti kama wangekutana wao kwa wao. Sasa hy settings za camera ndipo shida inapoanzia pale panapokuwa na matukio ya kutatanisha kama hayo.
Fuatilia vizuri ni mechi zote zikiwemo za simba na yanga marudio mengi ya matukio yanakuwa sio clear.
N kweli lkn huwezi kulinganisha matukio kwenye mechi kati ya simba na Yanga dhidi ya matukio ya mechi zingine. Simba na Yanga wanatumia Camera nyingi na kila angle hii inawasaidia Azam kupata shots tofaut tofauti sasa ukija upande wa hizi mechi zingine hasa nje ya Dar wanatumia Camera chache hvy kuna baadhi ya shots huwez kuzipata.
 
Attachments

  • Screenshot_20220822-061805_YouTube.jpg
    Screenshot_20220822-061805_YouTube.jpg
    26.2 KB · Views: 1
Tuache ushabiki maandazi. Huwezi kusema haikuwa penati Kwa ushahidi wa hii video ya Azam maana haiko clear kama hakuguswa. Vile vile kama unasema goli la pili ni offside basi Bora ushabikie rede.
Wewe ndiyo ushabikie rede. Angalia dk ya 3.15 utaona jamaa anapokea pasi akiwa offside. Sababu hujui mpira, huwezi kuona.
 
Kwanini isiwe offside? Huyu mshika kibendera alikuwa wapi? Nadhani position aliyokuwepo ndo imesababisha asiione offside
 
Mleta mada hujui mpira kabisa..

Penalty hata kama ilikuwa ya mchongo striker hatari lazima uwe na vinasaba vya kumdanganya referee.
Goli la pili ile assist ya kuchop wakati jamaa yupo nyuma kabisa.

Jifunze mpira.
Referee anatakiwa kujua viashiria vya diving. Moja ni kudelay kuanguka.
 
Back
Top Bottom