Mpinzani wa Mbowe ajitoa

Mpinzani wa Mbowe ajitoa

Asiekuwa mchaga ndani ya chadema na asileee.

Tokea lin mwenyekiti wa chadema akawa muislam.

Tena asiwe Mchaga??

Thubutuuu.
 
Kama wewe sio mchaga.

Then unajijua ni muislam.

Unakaa chadema kusubiri kitu gani sasa.

Muulize Mohamed Mtoi.

Hana Hamu kabisa.
 
Pro chadema wote mazwazwa, wananchi watawahukumu kwa uzwazwa wenu mlionao
 
heheeeeèe matusi sio suluhisho suala yuko sahihi au kakosea kwa mujibu wa katiba ya chadema

Unataka suluhisho au jibu la maswali yako? Haya soma sasa hapa chini, kwamba;


  1. Yuko sahihi kabisa kwa kutumia haki yake kwa mujibu wa katiba kugombea nafasi hiyo kama wenzake!!..


  1. Hapo ndipo alipokosea (hayupo sahihi) sasa kwa kuamua kujitoa kwa sababu hizo ambazo ki ukweli kwa watu wenye akili timamu wanatambua mara moja kuwa ni visingizio tu!!

Cha ajabu kabisa eti anajitoa na kisha anadai atakwenda kwa msajili wa vyama vya siasa kwenda kuweka pingamizi. Nadhani ili uchaguzi usimamishwe (Iwapo Registrar of political Parties) atakuwa na akili sawa na huyu bwana!!.....Kuipeleka kesi hii kwa Msajili wa vyama vya siasa kwa mtazamo wangu ni patamu sana kwa sababu ni either you kill or you bring to life everything. And I tell you my friend, Kansa is going to be burried forever!!

Hebu ngoja tuendelee kusikia na kuona maana yetu ni masikio na macho, na kumbuka uchaguzi wa mwenyekiti ni kesho jumapili tarehe 14/9/2014 na tunaomba ufuatilie kupitia ITV maana utarushwa live ili kila mmoja popote alipo Duniani aone,hatufanyii gizani kama yale mazungumzo ya TCD na IKULU/CCM mwisho wa siku kina Mzee Cheyo, Fahimu Nassoro Dovutwa na Lyatonga Mrema vibaraka wa CCM wanakuja kupotosha mambo na kuna watu eti wanadai video toka Ikulu/CCM ili kumjua nani mpotoshaji kwa maana ya Ikulu/CCM au TCD ya Cheyo na kina Dovutwa na Mrema au UKAWA!!.........Ni kichekesho eti

Kama hujaridhika,endelea kuuliza tutakusadia kujibu maswali yako kwa sababu CHADEMA rafiki yangu inapiganiwa na itaendelea kuwa defended na hata watu usiowajua wala kuonekana!!..

Niwie radhi,nimekupa na kukuambia na ambayo hukuuliza, lakini nakushauri tu kuwa ukipenda soma au weka kapuni!.
 
mbona inasemekana hana kazi , nani kampa nauli ya treni kutoka tabora hadi dar ?
 
Kama wewe sio mchaga.

Then unajijua ni muislam.

Unakaa chadema kusubiri kitu gani sasa.

Muulize Mohamed Mtoi.

Hana Hamu kabisa.

Asiekuwa mchaga ndani ya chadema na asileee.

Tokea lin mwenyekiti wa chadema akawa muislam.

Tena asiwe Mchaga??

Thubutuuu.

Wewe Punga tulishakupuuza tangu enzi zs gesi....
 
Haa haa mgombea mwoga kweli huyu! Afadhali amejitoa, vinginevyo.. Angeambulia aibu ya kura! Kiujumla amewatia aibu sana wapambe wake!
 
Asiekuwa mchaga ndani ya chadema na asileee.

Tokea lin mwenyekiti wa chadema akawa muislam.

Tena asiwe Mchaga??

Thubutuuu.

shule kitu muhimu sana ....

Bob Makani alikua dini gani na alitoka sehemu gani ya Tanzania?
 
ulipiga debe kwenye gas kuifagilia cdm ili upate cheo umekosa umekuwa mbulula kabisa mkuu bora ukae kimya tuu


Kama wewe sio mchaga.

Then unajijua ni muislam.

Unakaa chadema kusubiri kitu gani sasa.

Muulize Mohamed Mtoi.

Hana Hamu kabisa.
 
..haa haa ametia aibu wapambe wake! Huyu hakuwa na nia ya kugombea nia yake ilikuwa ni kumwekea pingamizi mbowe basi, hakuna jingine!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom