Mpinzani wa Mbowe ajitoa

Mpinzani wa Mbowe ajitoa

Aache wendawazimu , yeye amekuwa mwenyekiti wa mkoa wa tabora kwa vipindi vitatu mfululizo kwa kutumia katiba hiyohiyo halafu leo anataka itumike kwa mbowe, what a shame.

Njaa ya kupata makombo toka CCM inawasumbua hawa majuha....na genge linamzunguka utadhani ni mtu aliye na akili za kweli kumbe alishakabidhi ubongo kwa 'wenye mlo' CCM na mchumba wao ACT...useless Kansa!, the 'cancer for true Democracy'.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom