Mzani used Bei gani?

Mzani used Bei gani?

Mtoa mada unatakiwa kuwa serious kidogo! Ni kwamba wakati unawaza kuandika mizani, ulikuwa unamuwaza mpinzani wako wa biashara au!
 
Mizani zipo za aina nyingi na za kupimia bidhaa tofauti tofauti,
Mfano mzani wa kupimia Dhahabu na mzani wa kupimia nyama,zote ni mizani ila zinapima vitu vyenye uzito tofauti,

Ikizidi gram moja kwenye mzani wa kupimia nyama sio tatizo kubwa ila ikizidi gram 1 kwenye mzani wa kupimia Dhahabu ni tatizo,

Kua specific na bidhaa unayoihitaji.
 
Back
Top Bottom