Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,272
- 33,912
Amini katika itikadi, usimuamini mtuHakuna namna tumpe maua yake. Unapokuta watu uliowadhania ni wapinzani wanageuka na kujiunga na CCM wakati wa uchaguzi ni lazima ujiulize kama walikuwa wapinzani kweli au walikuwa wanatafuta pa kuhemea tu.
Ati leo Joshua Nassari yuko CCM..
Ati leo Wenje yuko CCM
Ati leo Peter Msigwa yuko CCM...
Kazi kwelikweli
'Useminari' siyo hoja. William Slaa alikuwa ni zaidi ya useminari! Ipo mifano mingi tu ya aina hiyo.Hapana Mnyika ni mseminari hawezi kugeuka. Yaani hata lile sakata la lowassa hakuhama bali alisusa tu. So atakua mtu wa mwisho kuhama, ndio maana ule uchaguzi alisimamia haki hakuweka uchawa au kumlinda Mbowe.
Chama kitakuwa kimejisafisha vyema kabisa.Hii Chadema ya wakati huu hakuna mamluki au mchumia tumbo atabaki! Kwa sababu mirija yote imekata! Ruzuku wamesitishiwa kwa hila ya Wazanzibari! Kwa hiyo watapukutika wote, na wataokaobaki watakuwa ni washindani wa kweli.
Natamani pia kuona siku moja Halima Mdee anarejeshwa kwenye chama! Pamoja na mapungufu ya kulazimisha kwenda bungeni, lakini bado amejitahidi kubakia kwenye mstari.
Naunga mkono hoja, namkubali sana JJ Mnyika, tena nilianza nae mbali Thread 'Mchakato Majimboni: JJ. Myika, Ubungo Yako, Njia Nyeupe' GE2010 - Mchakato Majimboni: JJ. Myika, Ubungo Yako, Njia NyeupeHakuna namna tumpe maua yake. Unapokuta watu uliowadhania ni wapinzani wanageuka na kujiunga na CCM wakati wa uchaguzi ni lazima ujiulize kama walikuwa wapinzani kweli au walikuwa wanatafuta pa kuhemea tu.
Ati leo Joshua Nassari yuko CCM..
Ati leo Wenje yuko CCM
Ati leo Peter Msigwa yuko CCM...
Kazi kwelikweli
Hiki ni kichwa mbaya Thread 'J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake' J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge WakeWanabodi,
Baada ya kuipokea hii document, nilifanya personal initiative ya kuifungia safari hadi Bungeni Dodoma, nikaikabidi kwa baadhi ya wabunge, akiwemo Mwenyekiti wa POC, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe na Waziri Kivuli wa Madini, Mhe. JJ Mnyika, hebu tusikilizie if anything will be done about this, vinginevyo ni Watanzania tunaendelea kuibiwa mchana kweupe, na wanaofanya tuibiwe ni hawa wenzetu tuliowaamini na kuwakabidhi nchi yetu hii!.
Sijui ni nani aliyetuloga!.
Mungu Ibariki Tanzania!.
Paskali
Dr slaa was understandable maana lowassa ilikua skendo kubwa ila unaona amerudi chadema!!'Useminari' siyo hoja. William Slaa alikuwa ni zaidi ya useminari! Ipo mifano mingi tu ya aina hiyo.
Hapana.Dr slaa was understandable maana lowassa ilikua skendo kubwa ila unaona amerudi chadema!!
Toka alivyokuwa Mbunge kwa Mara ya kwanzaMnyika bado uwa simuamini pamoja na yote huyu bado sio mpinzani 100%
Mtanisamehe lakini Kuna siku mtanikumbuka huyu ni mpinzani Aina ya Mbatia
Mnyika alifanya kazi nzuri sana kuwasainia Covid19 ile barua yao. Atakumbukwa daima kwa ushujaa wake.Hapana. JJ Mnyika ni mtu wa pekee sana. Hana tamaa ya mali wala madaraka. Hana majivuno wala kiburi. Mtu mwenye misimamo imara isiyoyumbishwa kwa ushawishi wa namna yeyote ile.
Nakumbuka enzi zile za Jiwe, alishawishiwa mno kwa ahadi kede kede ili mradi tu aunge mkono juhudi lkn wapi. Hivyo huyu Jamaa ni Mpinzani muaminifu na mkweli.
CCM washaona safari yao ya kuendelea kubaki madarakani imeshafika mwisho. Wanachokifanya CCM hakitadilisha matokeo ya mabadiliko yanatotakiwa nchini na wananchi #no reform no election. Hata wakiwakamata viongozi wote wa chadema bila sababu za kimsingi wakidhani italeta hofu na tahararuki kwa wananchi iliwasiandamane hiyo Oct 29.Hakuna namna tumpe maua yake. Unapokuta watu uliowadhania ni wapinzani wanageuka na kujiunga na CCM wakati wa uchaguzi ni lazima ujiulize kama walikuwa wapinzani kweli au walikuwa wanatafuta pa kuhemea tu.
Ati leo Joshua Nassari yuko CCM..
Ati leo Wenje yuko CCM
Ati leo Peter Msigwa yuko CCM...
Kazi kwelikweli
huelewi maaana ya siasa ndo maaana, hata lowasa alishatinga chadema na akarudi na maisha yakaendelea! hizo mnazofanya sio siasa bali ni chuki, mtu akienda ccm mnamuona kama msalitiHakuna namna tumpe maua yake. Unapokuta watu uliowadhania ni wapinzani wanageuka na kujiunga na CCM wakati wa uchaguzi ni lazima ujiulize kama walikuwa wapinzani kweli au walikuwa wanatafuta pa kuhemea tu.
Ati leo Joshua Nassari yuko CCM..
Ati leo Wenje yuko CCM
Ati leo Peter Msigwa yuko CCM...
Kazi kwelikweli
Kunani maalimu humuamini katibu ze brain?Mnyika bado uwa simuamini pamoja na yote huyu bado sio mpinzani 100%
Mtanisamehe lakini Kuna siku mtanikumbuka huyu ni mpinzani Aina ya Mbatia
Mlamba asali 😁Mwamba alikuwa Jabali la siasa za upinzani 😃View attachment 3491999
Usiwaamini sana chief. Dunia hii mambo mengiKama hadi leo hii huamini upinzani wa Tundu Lissu, na kudhani yupo yupo tu kuhadaa watu, wewe utakuwa ni mtu wa utani mwingi sana wa kusikitisha.
Hata John Heche simtilii mashaka katika upinzani wa sasa.
Usiwaamini sana mdogo angu, wasije wakakushangazaWapinzani wa kweli kwangu wapo watatu
MTIKIRA
LISSU
HECHE
Hao watu wana misimamo isiyoyumba, wanasimamia kile wanachokiamini na sio wabinafsi..!! Hawana bei
Nafikiri huu ndio mtazamo sahihi zaidiUsimalize maneno, tumpe muda.
Wanasiasa hufanya lolote kwaajili ya maslahi yao binafsi.
Ngoja maslahi yake binafsi yaguswe tuone.
Umemsahau Freeman MboweHakuna namna tumpe maua yake. Unapokuta watu uliowadhania ni wapinzani wanageuka na kujiunga na CCM wakati wa uchaguzi ni lazima ujiulize kama walikuwa wapinzani kweli au walikuwa wanatafuta pa kuhemea tu.
Ati leo Joshua Nassari yuko CCM..
Ati leo Wenje yuko CCM
Ati leo Peter Msigwa yuko CCM...
Kazi kwelikweli
Wabongo wanapenda sana siasa za kuamini watu, wanasahau kwamba mwanasiasa ni kama mtu mwengine anaweza kubadili mitazamo yake na akawa na vipaumbele vyake.Amini katika itikadi, usimuamini mtu