GE2025 Mpina ashinda kesi kuenguliwa kuwa mgombea Urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina ameshidnda kesi yake dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi baada ya kuzuiliwa kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia chama hicho.

Kesi hiyo iliyoanza kusikikizwa leo mchana Septemba 11, imemalizika kwa Mpina kushinda na ni rasmi sasa atarejesha fomu ya kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho.

Soma Pia:
 
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT- Wazalendo, Luhaga Mpina ameshinda kesi ya kupinga kuzuiwa kurejesha fomu za uteuzi wa mgombea Urais iliyofunguliwa dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, na mahakama kuamuru taratibu ziendelee zilipoishia.

Soma Pia:
Panazidi kuchangamka, acha tuone

giphy.gif
 
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT- Wazalendo, Luhaga Mpina ameshinda kesi ya kupinga kuzuiwa kurejesha fomu za uteuzi wa mgombea Urais iliyofunguliwa dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, na mahakama kuamuru taratibu ziendelee zilipoishia.

Soma Pia:
Asante kwa taarifa.

Sasa amshitaki aliyemzuia au amsamehe tu?
 
Labda walijishtukia kuwa kampeni zimepoa na hazina mvuto
Asante kwa taarifa.

Sasa amshitaki aliyemzuia au amsamehe tu?
F.uck INEC, f.uck Msajili, f.uck CCM na majambazi wake wote!
Hii ni planned movie

Soma hapa

Kampeni zilikosa mvuto bhana😂😂 we mtu unashindana na watu wanazungumzia ubwabwa jamani , watu ni chama pinzani ila wakifika mbele ya watu nao wanasifia chama tawala.
 
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina ameshidnda kesi yake dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi baada ya kuzuiliwa kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia chama hicho.

Kesi hiyo iliyoanza kusikikizwa leo mchana Septemba 11, imemalizika kwa Mpina kushinda na ni rasmi sasa atarejesha fomu ya kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho.

Soma Pia:

Kipi kigeni hapo?

GE2025 - Hatma ya Mpina kugombea Urais yangojewa, uamuzi kutolewa leo Septemba 11, 2025
 
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina ameshidnda kesi yake dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi baada ya kuzuiliwa kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia chama hicho.

Kesi hiyo iliyoanza kusikikizwa leo mchana Septemba 11, imemalizika kwa Mpina kushinda na ni rasmi sasa atarejesha fomu ya kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho.

Soma Pia:
Ajashinda amerihusiwa tu, ili taswira ya uchanguzi ionekane.
 
Back
Top Bottom