Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,096
- 29,621
Wananchi tumesha kataa uchaguzi ...tumesha sema 2025 hakuna uchaguzi wala tanganyika kutawaliwa na mzanzibar siyo sawa ...wazanzibar wamesha jitwalia taifa lao kwa asilimia 99% huku Tanganyika awana chao tena...kampeni za mpina zinatakiwa kuwa no reform no election..hapo samia atajuta ...vyama vya upinzani vilivyo chukua form vilitakiwa kupiga kampeni ya no reform no election...Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina ameshidnda kesi yake dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi baada ya kuzuiliwa kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia chama hicho.
Kesi hiyo iliyoanza kusikikizwa leo mchana Septemba 11, imemalizika kwa Mpina kushinda na ni rasmi sasa atarejesha fomu ya kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho.
Soma Pia:
- GE2025 - Monalisa wa ACT Wazalendo aandika barua kwa Msajili wa Vyama Vya Siasa kupinga Luhaga Mpina kuteuliwa kama mgombea Urais
- GE2025 - Msajili wa Vyama vya Siasa: Uteuzi wa Luhaga Mpina ni batili kisheria, hastahili kuwa Mgombea Urais kupitia ACT
- GE2025 - Mpina apingwa kugombea urais ACT Wazalendo