misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,659
- 14,319
Kila awamu watu dizaini hii uwa wanatokea.Jamaa amejitofautisha sana na walamba asali, ngoja tuone kama KK itakuwa na ujasiri wa kulipitisha jina lake.
Kila awamu watu dizaini hii uwa wanatokea.Jamaa amejitofautisha sana na walamba asali, ngoja tuone kama KK itakuwa na ujasiri wa kulipitisha jina lake.
Nadhani zipo kwa wakubwa,sisi wengineo utaambiwa umri umepitaKumbe nafasi bado zipo za JKT?
Hapo nimekuelewa MkuuNadhani zipo kwa wakubwa,sisi wengineo utaambiwa umri umepita