King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,749
- 94,751
Bashite domo limejaa mafuta ,lina jumba masaki lipo jikoni linabunya na kuhondomola.Wanasema eti kwasababu haupo jikoni kwenye mafuta.
King wee komaa tu kwenye mkaa huko chaka minjingu. Endelea ku-earn a decent wage Mungu atakulipa.
adriz de mbusii
Yap nipo minjingu nakomaa na biashara ya mkaa.