Mpiganaji Mazee Rajab wa Cuf hatunae tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpiganaji Mazee Rajab wa Cuf hatunae tena

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by amanibaraka, Feb 13, 2011.

 1. amanibaraka

  amanibaraka JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mpiganaji na kada mahiri wa Chama cha Wananchi Cuf amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, habari zilizothibitishwa zinaeleza. Miongoni mwa nyadhifa alizowahi kushika, Mazee amewahi kuwa naibu mkurugenzi katika Kurugenzi ya vijana na Ulinzi. Pia amewahi kugombea Ubunge katika jimbo la Tunduru mara tatu huku akishindwa na wapinzani wake wa CCM kwa kura chache na kwa kupitia mizengwe ya kila aina.
  Alipoteza nafasi yake ya Unaibu Mkurugenzi katika mabadiliko ya juzi juzi ambapo Cuf iliamua kupunguza kurugenzi zake.
  Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi
  AMEEN
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Feb 13, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Eeh Mola wetu, tunakuomba uilaze pema peponi roho ya marehemu huyo.
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  rip Rajabu
   
 4. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,957
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Rip
   
 5. s

  shosti JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Inna lilaah wainna ilayh raajiun
   
 6. J

  JokaKuu Platinum Member

  #6
  Feb 13, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  r.i.p Rajab
   
 7. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mungu akulaze mahala pema peponi
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Feb 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi Amin.
   
 9. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #9
  Feb 13, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  R.I.P Mzee Rajab. Umetuachia vijana moyo wa ujasiri na uthubutu wa kupambana na ccm licha ya kuchakachuliwa mara tatu.
   
 10. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #10
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Innalillah wainailaih rajiuun.
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Feb 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ARIP mpiganaji... I hope ulikua member wa JF
   
 12. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #12
  Feb 13, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Mungu amlaze mahali pema rajabu,alikuwa mtu wa watu,nimehudhuria kampeni zake alikuwa makini na mcheshi,Mungu alitoa na ametwaa jina lake lihimidiwa,
   
 13. l

  limited JF-Expert Member

  #13
  Feb 13, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  rest in piece
   
 14. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #14
  Feb 13, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  may his soul rest in eternal peace
   
 15. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #15
  Feb 13, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  RIP man, naomba uwasalimu wale makamanda waliopigwa risasi na polisi kule arusha, wale wa Pemba, na mbarali. Wape pole sana. Waambie sisi tunaendeleza mapambano.

  Pia naomba uwapongeze wale makamanda wa Misri na Tunisia. Wambie kama siyo vifo vyao pengine nchi zao zisingekombolewa.

  Mwambie babu yetu, Nyerere, kwamba tunammisi sana, sana tu. Mwambie tunamshukuru sana kuwaondoa wakoloni weupe, na sasa tunakusanya nguvu kuwaondoa hawa weusi waliomsaliti.

  Na wewe mwenyewe mzee wangu jiunge na chama kipya cha Nyerere. Achana na hao warembo ambao wakikonyezwa kidogo tu tayari. Lakini wapeni vijana madaraka

  basi mkae salama huko mzee wangu. Ukipata tetesi kuhusu mipango ya sir god kunihamishia huko please nitonye ili niwaage wana JF. Nitakupooza kidogo ntakapofika huko.

  Amen
   
 16. K

  Kishalu JF-Expert Member

  #16
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 60
  Mola ailaze mahala pema roho ya mwenzetu marehemu Mazee Rajab.Mola amempenda zaidi yetu Amina
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Feb 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Inna lillahi wainna ilahyi raajiun
   
 18. Kagemro

  Kagemro JF-Expert Member

  #18
  Feb 13, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 462
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45

  Msiba huu ni wetu sote wapambanaji,Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi.
   
 19. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #19
  Feb 13, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 180
  Bad new, rest in peace hope 2 c u again
   
 20. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #20
  Feb 13, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  RIP Rajab
   
Loading...