Mpiganaji Mazee Rajab wa Cuf hatunae tena

Duu! huyu mazee alikuwa mpiganaji sana katika jimbo la Tunduru kwa kugombea ubunge
mara tatu bila kupata. Nakumbuka baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 na
yeye kukosa tena ubunge,alihitisha mkutano pale Tunduru mjini na akawapa ukweli wa live
wananchi wa Tunduru kuwa kuna baadhi yenu ni wanafiki. maana hiweje kila uchaguzi mgo
mbea wa ccm anishinde mimi kwa kura 20 hadi 50? kwahiyo nachukuwa nafasi hii kusema
sitagombea tena kwenye chaguzi zijazo na nitabakia kuwa mwanachama wa kawaida tu wa cuf.
Baada ya kusema hivyo,wananchi waliowengi waliangua vilio vikubwa sana pale mkutanoni.Na
walijaribu kumsihi na ajaribu tena 2015 lakini mazee alikataa katakata na mapema mwaka huu
akahamia rasimi DSM.
Hiyo ndiyo historia chache ninayoifahamu kuhusiana na marehemu mazee wa cuf. Mungu amlaze
mahala pema peponi!
 
As an update, marehemu Mazee amesafirishwa leo kuelekea kwao Tunduru kwa ajili ya kupumzishwa katika nyumba yake ya milele. Msafara huo wa kuelekea Tunduru unaongozwa na mwenyekiti wa CUF taifa, Prof. Ibrahim Lipumba. Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho jumatatu saa nane mchana.
 
May his death serve as new inspiration for the people of Tunduru!!

Duu! huyu mazee alikuwa mpiganaji sana katika jimbo la Tunduru kwa kugombea ubunge
mara tatu bila kupata. Nakumbuka baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 na
yeye kukosa tena ubunge,alihitisha mkutano pale Tunduru mjini na akawapa ukweli wa live
wananchi wa Tunduru kuwa kuna baadhi yenu ni wanafiki. maana hiweje kila uchaguzi mgo
mbea wa ccm anishinde mimi kwa kura 20 hadi 50? kwahiyo nachukuwa nafasi hii kusema
sitagombea tena kwenye chaguzi zijazo na nitabakia kuwa mwanachama wa kawaida tu wa cuf.
Baada ya kusema hivyo,wananchi waliowengi waliangua vilio vikubwa sana pale mkutanoni.Na
walijaribu kumsihi na ajaribu tena 2015 lakini mazee alikataa katakata na mapema mwaka huu
akahamia rasimi DSM.
Hiyo ndiyo historia chache ninayoifahamu kuhusiana na marehemu mazee wa cuf. Mungu amlaze
mahala pema peponi!
 
Mwili wa marehemu Mazee umewasili Tunduru katika msafara ulioongozwa na Prof Lipumba. Kwa sasa shughuli za mazishi zinakaribia kuanza. Tumuombee dua apokelewe kwa heri na Mungu. Aaaaaamin.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom