Dah! Nilikuwa darasa la 3 Kinondoni Pr Dsm mwaka 1964. Mshana jr kwa kutukumbusha mbali hujambo
Nilihadithiwa na Mzee wangu bwana ...Sijui ni wangapi wanakumbuka hiki kitabu
... heri ya mwaka mpya Chief! Hizi nondo nazipata wapi kwa ajili ya madogo?Na Alfu lela ulela
.... ha ha ha! Pole babu; wakati ukuta!sijui kama naikumbuka vizur watoto walichukuliwa wakaenda mlima ......aaarrgghh nimesahau tena
"Atakuja vivyo hivyo mlivyomwona akienda zake mlimani" 🤣🤣🤣Hapana alipotelea mlimani na wale watoto wote
Na za Abunuwasi pia Bulicheka😅Na Alfu lela ulela