Watoto hawakupata maumivu yoyote bali walengwa ambao ni wazaziHadithi za kale bhana...kosa wafanye wengine adhabu apewe mwingine!
Basi yule mmoja aliyesalimika kwa mujibu wa hadithi yako alikosa kitu kizuri sana...Kiepe yai vyoda na bembea kitu kingine kabisa kwa mtoto!Watoto hawakupata maumivu yoyote bali walengwa ambao ni wazazi
Inawezekana kabisa mshkaji aliwapeleka mahali ambapo kila siku ni kucheza tu..mabembea chips yai soda midoli nk nk
Hapana yule alikuja kuwa ndio mtoto pekee aliyebaki pale kijijini hivyo alilelewa kama yaiBasi yule mmoja aliyesalimika kwa mujibu wa hadithi yako alikosa kitu kizuri sana...Kiepe yai vyoda na bembea kitu kingine kabisa kwa mtoto!
Hapana yule alikuja kuwa ndio mtoto pekee aliyebaki pale kijijini hivyo alilelewa kama yai
Yeah I can feel it lakini kumbuka ndio alikuwa mtoto pekee aliyebaki hivyo pengine alidekezwa sana na kila mkaziSasa mkuu kubaki kijijini mwenyewe,no kampan, hakuna marafiki hakuna nini kuna tofauti gani na kifungo cha maisha?
Hii story nilipigiwa na wazee tangu nikiwa mtoto. Ila sijui iko kwenye kitabu kipi kinachopatikana hapa bongo.Ni simulizi ya mwaka 1300 kwenye mji wa Hamelin huko Ujerumani
Huo mji ulikuwa ni sugu kwa ugonjwa wa tauni unaosababishwa na panya ambao walikuwa wengi kupitiliza kwenye huo mji...wakazi wa hamelin walishajaribu kila namna kuwadhibiti wale panya lakini ilishindikana kabisa
Siku moja alikuja mgeni mwenye mavazi makuukuu akiwa kabeba filimbi na kuwaambia wenyeji wa hamelin kuwa angeweza kuwaondolea baa lile la panya
Kwa muonekano wake wa kifukara hawakuamini kuwa angeweza kufanya hiyo kazi hivyo wakampa sharti la kumlipa baada ya kazi kukamilika
Jamaa hakubisha akaanza kazi mara moja kwa kupuliza filimbi yake ambapo mapanya yote yalitoka kwenye kila tundu kila ficho na kila nyumba na kumfuata
Aliendelea kupuliza filimbi yake huku akielekea upande wa mji kulikokuwa na mto mkubwa huku maelfu ya panya yakimfuata nyuma . ...kufika pale mtoni alisimama na kila panya aliyefika pale alirukia majini na kupotea...baada ya panya wote kupotelea majini alirudi mjini kudai ujira wake
Watu wa hamelin kwa ujuha wao wakamzingua na kugoma kumlipa ujira wa kazi yake, Jamaa akaondoka na kinyongo chake
Siku tatu baadae Jamaa alirejea Hamelin nyakati za jioni hivi na kuanza kupiga filimbi yake huku akielekea upande mwingine wa mji kulikokuwa na mlima mrefu...filimbi ya kipindi hiki haikutoa panya bali watoto wote wa mji wa hamelin
Wazazi walijaribu kuwakataza watoto wao wasimfuate bwana yule lakini haikuwezekana...alipofika pale mlimani, mlima ulifunguka naye akazama na kupotelea huko na wale watoto wote
Aliyesalimika ni mtoto mmoja mlemavu wa miguu ambaye aliachwa nyuma na mpaka anafika pale mlima ulikuwa umeshajifunga
Huyu ndie aliyerudi mjini na kusimulia kilichotokea (left to tell)
Ha ha haaa kwa hiyo funzo hapa ni kwamba tuzuie filimbi kupigwa maeneo ya milimani hususani vijijini ambako milima ndipo ilipo!Yeah I can feel it lakini kumbuka ndio alikuwa mtoto pekee aliyebaki hivyo pengine alidekezwa sana na kila mkazi
Yahaya wa Gambia aliyeondoka atakuwa somo zuri sana kwa kina Yahaya wetu wa ndani...wakati mwingine nikiwaza nahisi kwamba uchaguzi wa Marekani una impact kubwa sana ukizingatia Donald alivyo kauzu kuliko yule mama ambaye kina Yahaya wetu wangemwona shemeji yao tu!🙂 kuna la kijifunza hapo hasa kwenye siasa zetu hizi za kutishana kuumizana na kukomoana
🙂 🙂Yahaya wa Gambia aliyeondoka atakuwa somo zuri sana kwa kina Yahaya wetu wa ndani...wakati mwingine nikiwaza nahisi kwamba uchaguzi wa Marekani una impact kubwa sana ukizingatia Donald alivyo kauzu kuliko yule mama ambaye kina Yahaya wetu wangemwona shemeji yao tu!
Misss you too honey.View attachment 462706
Miss you love
Wonderful....!!!![emoji7][emoji7][emoji7]Misss you too honey. View attachment 462733
Umeirudisha nyuma sana akili yangu kwa hadithi hii. Hapo nilikuwa drs la 3, ni 1970.
Kwa umri huo humu tuna chat na vijukuu na vitukuu ndio maana si vema kujibizana na mtu usiyemfahamu