Mpenzi wangu wa zamani ananitia majaribuni

Kwani ilipoamua kuchagua kumuoa mkeo dhidi ya huyo "ex" haukuwa uamuzi wa dhati? Mbona sasa huoneshi msimamo? Ni wazi huyo "ex" ameshakuona unayumba na amepania kukuvurugia ndoa yako. Sasa we nenda Korea halafu utaona matokeo yake.
 
Hatari kwa ndoa yako hiyo mkuu.
Unaposema bado anakupenda ina maana pamoja na kwamba umeoa hatambui kwamba you now belong somewhere?
Acha hiyo ndugu nakushauri usiende, hutarudi.
 
Acha uzinzi tunza kiapo cha ndoa; ni nadhiri hiyo na mara nyingi tunaivunja; Mungu atusaidie tushinde majaribu.
 
We njoo tu mwanangu mwenyewe npo huku kikaz na akikunyima naul ya kurud mi ntakupa sawa
 
We nenda halafu waif ajue ndio utapata jibu.
Na zaid wewe unataman kwenda Korea au unataka ukamgegede?
 
Bored! How can a married man act like this? is this coming from the bottom of your heart? don't let the past ruin yo future man, change yo mind, cheap is expensive. Aisee...
 
Back
Top Bottom