Wa Kichina na Wahindi wakoje?
Umesema chiky !! bora wageni eeeh?!! hata mie umenichekesha...
Nani asiependa mteremko !??!Sijui wewe unaona wakoje, maana mimi siwajui nijuze wewe.
We mwarabu unasemaje????
umeninukuu vibaya bhana.
Mi nimeshangazwa na tabia ya mwanaume kupenda kuhudumiwa hadi anaona ndoa yake aina maana, hili lipo kwa wanaume wa kiafrika, mwanamke akiwa na hela anachagua tu ndoa yakuivunja, ila wenzetu huku hawana tamaa ya kutunzwa, umenipata atiiee.
Wa Kichina na Wahindi wakoje?
Nani asiependa mteremko !??!
Princeple za biashara ni kuwatosheleza wateja zako!! unawashibisha mahitaji yao..... ndipo unafukuzia new client !!! hiyo haina aibu!!!Acheni kupenda miteremko, mnatelekeza familia kwa hela ambazo anahudumia mwanaume mwenzenu, mwisho wa siku kuja kushtuka unarudi kwenye familia unakuta hakuna hata anayekuhitaji hata paka anakununia, mnabaki na aibu.