Mpenzi wangu wa zamani ananitia majaribuni

Mpenzi wangu wa zamani ananitia majaribuni

Hayaa mambo ya ma x ndio huwa yananifanya nichelewe kuoa, sasa mkuu embu Fanya huo ushauri anaomba mkeo we ungejiskiaje?? Acha hizo mkuu komaa na mkeo aisee usije kumletea maradhii.

Siku ukifanya maamuzi magumu ya kuoa, utajikuta una ma x wasio na idadi! Oa sasa husiogope...
 
Aaaaah nadhani anataka tumwambie 'nenda tu haina noma' ili tubariki usaliti.....hahaaaa kazi kweli kweli ndoa hizi
sisemi kwamba mi sitokosea lakini naamini ni kosa kubwa sana kuingia kwenye ndoa wakat bado hujamaliza ujana wako
haya saa ndo matokeo,ni upuuzi kuleta thread kama hii kwakweli sijui anataka tumshauri nn
 
naamini umeandika ukiwa na akili timamu tena iliyotulia usitudanganye eti uko njia panda! mi naamini mtu njia panda akiwa na machaguo zaidi ya moja na yote ni sahihi kwake lkn hajui aanza na lipi!
 
yan mtu kufikiri kuwa unatamani sana uende haihitaji hata ufike std seven, so usitudanganye hapa we kwea pipa ukafanye uzinzi na nafikir kilichokichanganya hapo ni kwenda huko Korea na si vinginevo. you r soo cheap hebu nipe contact zako maana very soon ntaenda mamton ili nikifika nikutumie tiketi. hahaha
 
usituaibishe wanaume wenzio kwa kukosa uwezo wa kufikiria jambo la kijinga kama hilo...mkeo akiomba ruhusa akamsalimie ex boifriend wake utamruhusu??tunza ndoa yako na kuwa mwaminifu..mwanaume ni kichwa cha family lkn naona ww unataka kuwa kwato a family
 
uko serious kweli? Angekua mkeo ndio amekuja kuomba ushauri humu Jamvini anonymously we ungemshauri nini??
 
Haa haa mkuu Tarime one mimi x-boyfriend wa mkeo, vp nimeongea naye nimemwomba aje dar ajekunisalimia nafrahi kupata taarifa zako vp na wewe utamruhusu aje kwangu?. Kama itakuumiza kwa yeye kuja kwangu basi na wewe usimuumize hivyohivyo mana naye ataumia sana. BAKI NJIA KUU UKIMWI UNAUA.
 
Long time guys niliwamiss, but naamini mko poa

Back to the topic, hapa ni kuomba ushauri, before my marriage nilikua na mpenzi na tulipendana sana but haikua bahati yake kuolewa na mimi na wife alimfahamu hata kwenye wedding yetu alihudhuria.

Miaka mitatu iliyopita alipata nafasi ya kwenda kufanya kazi nje ya nchi kule Korea na ana mkataba wa seven years actually tunawasiliana vyema hata hunitumia zawadi mbalimbali na tumekua karibu sana kwa mawasiliano.

Tatizo juzi kaniomba nikamsalimie huko na yuko tayari kunitumia ticket muda wowote nitakaokua tayari,najiuliza niende au nisiende coz najua bado ananipenda sana na alishatamka wazi hawezi kiniacha, sasa niko njia panda.

Tujifunze ku let go mtu akishakua ex ndo pcha imeisha
 
Nenda ukazini, ujue na mkeo naye atamwita ex wake, itakuwa sawa? Pima
 
ukienda utakua umefungua milango yakuzimu kwenye ndoa yako shetani hapendi ndoa atamsogeza mtaabishaji hutapata furaha maishani mwako mwote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom