Punda wa Dobi
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 591
- 239
upewe gunia la chawa wewe, tena kama vipi akukatie business class
Wewe mwenyewe unajishauri nini?
Nenda tu brother, ila pia ujue ex wa wife wako hayuko mbali sana.
Vale hata sijui naagaje kwanza,basi tu.
Hilo ndilo tatizo,anapenda niende mwenyewe dah!!