Mpenzi wangu wa zamani ananitia majaribuni

Mpenzi wangu wa zamani ananitia majaribuni

Yaani mijanaume mingine bwanaa....penda dezoo eee...! Muage mkeo unaenda kwa ex-wako si umesema anamjua then akikuruhusu nenda...
 
Yaani mijanaume mingine bwanaa....penda dezoo eee...! Muage mkeo unaenda kwa ex-wako si umesema anamjua then akikuruhusu nenda...

Mh!penda dezo Hahahahhh!!kama mtu anataka kugegedwa kwa gharama zake kuna tabu gani?
 
@arime one

Kiongoz wewe unakasirisha sana, Awali ya yote tumia akili na uache ujinga. Wewe umeshafanya maamuzi mazito kwa kumuoa huyo ulie nae sasa hivi. Huko kwa X unatafuta nini? na kama kuna mambo mazuri mbona hukumuoa huyo?

Mheshimu mkeo na uache huo ujinga wa X coz huyo X anampango ukifika lazima akufungie kama dog coz anajua hutakuwa na nauli ya kurudi. Acha njaa za kijinga na kama una watoto fikiria namna ya kuipendezesha familia yako na sio mambo ya X. OVER
 
Kiongoz wewe unakasirisha sana, Awali ya yote tumia akili na uache ujinga. Wewe umeshafanya maamuzi mazito kwa kumuoa huyo ulie nae sasa hivi. Huko kwa X unatafuta nini? na kama kuna mambo mazuri mbona hukumuoa huyo? Mheshimu mkeo na uache huo ujinga wa X coz huyo X anampango ukifika lazima akufungie kama dog coz anajua hutakuwa na nauli ya kurudi. Acha njaa za kijinga na kama una watoto fikiria namna ya kuipendezesha familia yako na sio mambo ya X. OVER

Sina njaa za kijinga kama unavyofikiria ,JF imevamiwa na watu wenye fikra finyu,don't judge mtu usiemfahamu kwa kumwambia aache ujinga.
 
Sina njaa za kijinga kama unavyofikiria ,JF imevamiwa na watu wenye fikra finyu,don't judge mtu usiemfahamu kwa kumwambia aache ujinga.

Nakupongeza wewe mwenye fikra pevu ambae unaacha mke nyumbani unahangaika viruka njia
 
jifanye umepata chuo cha kozi fupi ya miezi kadhaa
 
ukienda tu korea wanaume tunatake pozzzzzzzzzzzzzzzz kwa mkeo.
ujue imekula kwako
 
Tarime one

Kabla Sijakushauli Kati Ya Hao Wawili Niyupi Umpendae?
 
Last edited by a moderator:
Kabla Sijakushauli Kati Ya Hao Wawili Niyupi Umpendae?

Jibu liko wazi,nisingependa nisingeoa,but tatixo liko kwa x wangu,labda ana lake jambo ndio sababu nikaja humu kuomba ushauri.
 
Jibu liko wazi,nisingependa nisingeoa,but tatixo liko kwa x wangu,labda ana lake jambo ndio sababu nikaja humu kuomba ushauri.

Hana Nia Nzur Huyo X Wako Kwan Ukienda Huko Unadhan Wife Wako Atakuwa Na Iman Na Wewe! Maana Umesema Hata Kabla Ya Ndoa Alimfaham Sana Kuwa Ulikuwa Na Mahusiano Na Huyo X
Ushauli wangu!
Usiende Huko Ughaibuni Ili Kulinda Heshima Ya Mkeo+heshima Ya Ndoa Yako

Kwan Hata Kama Ungekuwa Wewe Mkeo Anakupa Taarifa Ya Kwenda Nje Ya Nchi Kuonana Na X Wake Ungekubali??????
 
unaelewa kwamba x bado anakupenda futa mawasiliano naye kuondoa utata wa kuomba ushauri......
 
Muage unaenda kuangalia fursa za biashara....
Ukienda ni PM address ya hme kwako....kama VP namba ya simu ya mkeo
 
sasa si uende tu.. unadhani go ahead inatoka humu kweli?
Mbona hukutuuliza kwamba upokee zawadi ama la?
 
Safari ya Korea inakutoa roho kijana. Hivi mlihudhuria mafundisho ya ndoa kabla ya kuoana? Au mlioana akili ikiwa inafikiria HARUSI badala ya NDOA? Harusi ni sherehe tu kaka, ila ndoa ni commitment, a lifetime commitment. Na kama ukiendelea kuendekeza mawasiliano na ma x ndoa yako itavunjika.

Trust me, she a human na anajiuliza sana kwanini ulimwacha. Na kwa kuwa amekuwa mpole tu na kuhudhuria harusi usidhani hana kisasi moyoni mwake. Na watu wa aina hiyo kisasi chao huwa ni kibaya sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom