Ukwel mtupu
Member
- Jan 30, 2014
- 40
- 8
- Thread starter
- #41
ana Umri gan kichuna wako
Miaka 31 mimi 27 different miaka 4, hapo vipi mkuu???na nina mpango wa kufunga nae ndoa mwaka huu au ikishindikana kabisa bas mwakan
ana Umri gan kichuna wako
Huwezi kutenguwa utaratibu wa umri ila is only applicable kwa wanawake wenye dongo zuri ambapo hata akikuzidi umri mwanaume ndio unaweza kuonekana mkubwa.
ila kiukweli si wanawake wengi waliojaliwa miili hiyo.Haya mambo ya age ain't but just a number kwa Africa bado kidogo.
Miaka 31 mimi 27 different miaka 4, hapo vipi mkuu???na nina mpango wa kufunga nae ndoa mwaka huu au ikishindikana kabisa bas mwakan
Ni hivi kama wewe ni kichwa ngumu owa tu wala hamna shida, ila yeye akifikisha miaka 40 wewe utakuwa na 36 sasa hapo ndio utaanza kudet na mademu wenye miaka 25.Wakuu nawashukuru wote kwa ushauri wenu mlioutoa kwa kweli nimefarijika sana, kuna wadau wameuliza miaka aliyonizid jibu ni minne yaan mi nina miaka 27 now yeye 31.
utaratibu unaojulikana
ni kuwa mume lazima amzid umri mke!
Mkuu huogopi kuambiwa una wivu? vijana hawa wameweka pamba masikioni hawajui kama sisi tunatoa ushauri through experience na age tuliyonayo sasa sijui wanataka tuwe tunadisplay umri ndio wawe serious na ushauri wetu.Mkuu for the future benefits temana naye...Kuna psychological problems utazipata later ambazo zitakupa tabu kwenye maisha ya ndoa..!
Kamuulize Josephine yule Junior ni mtoto wa Dr Slaa au kagegedewa?Kwanza kijana tambua hasara za kuoa mwanamke uliyemzidi umri ni kwamba mwanaume unaanza kuchoka na kuzeeka haraka huku mkeo akiwa bado yupo fiti wenzio wakiwa wanakugegedea mzigo!!Hvyo ushauri wangu ni kuoa mwanamke aliyekuzidi umri ili yasikukute maswaibu kama hayo!! huku halafu cm haina saut nely aliniambia kuwa unanipa hi! Niko salama bado nimelala
Mwambie ukweli ili kuepuka matatizo yasiyo ya lazima.
Ndugu wana jf mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 na nina mpenz wangu ambae tunapendana sana kwa dhati kutoka moyon kabisa ila shida ni kuwa yeye ni mkubwa kwangu kiumri lakin yeye halijui hilo maana nilimdanganya umri wangu kuwa tuko sawa na had sasa anaamin na mpango tulionao baadae ni kuish kama mume na mke na kila mmoja analijua hilo, sasa naomben mawazo yenu kama hiki kitu kinawezekana kweli maana kwa utaratibu unaojulikana ni kuwa mume lazima amzid umri mke!
mwanamke akikuzidi umri juwa amekuzidi kila kitu huu ndio ukweli. utaki unaacha.
huyo rafiki yako ni mchafuzi 2 wawatoto wa wenzie maana hapo nikama kaoa mtoto wake wa kumzaaMkuu huogopi kuambiwa una wivu? vijana hawa wameweka pamba masikioni hawajui kama sisi tunatoa ushauri through experience na age tuliyonayo sasa sijui wanataka tuwe tunadisplay umri ndio wawe serious na ushauri wetu.
Kwa mfano mimi wanawake asilimia kubwa tuliomaliza pamoja o level leo hii nikikutana nao sina mzuka nao kabisa hawako tena hot lakini by that time waliturusha roho na wengine tuliambulia kula kwa macho tu, lakini kipindi kile mimi nilitamani na kuamini one of them kuna mke wa kuoa mimi kumbe fact perfect woman kwangu alikuwa bado ni mdogo na bado yuko Primary school.
Kuna rafiki yangu mwingine naye ameoa msichana na wana watoto wawili sasa hivi yule msichana mama yake mimi ndio age mate wangu sasa imagine leo hata nirealise kwamba yule mama siyo wa level ya kuolewa na mimi labda mtoto wake ndio perfect match.
Duu kwani yeye amekuzidi miaka mingapi......broo mimi mbona nina miaka 26......lakini nimeshawahi kuwa na mpenzi ana miaka 78....je wewe amekupita miaka mingapi