Mpenzi wangu kanipa ultimatum kuwa nisipomuoa mwaka huu, atachukua maamuzi magumu

Mahusiano yenye future unatakiwa kukaa muda gani?
At least baada ya mwaka unatakiwa ume umemchumbia umvishe pete ya uchumba then mwaka m'moja na nusu unaofuata unaweza kuanza process za kufunga ndoa takatifu....
 
We unigeuze kila staili muda wote Mara mbuzi kagoma,chuma mchicha na nyingine nyingiiii. Maamuzi magumu yanakuhusu wewe
 
Habari za leo watanzania wenzangu?

Nimeshangaa tu jana usiku mpenzi wangu from nowhere kanitumia ujumbe kwenye simu kuwa, mwaka huu ukiisha kama sijamuoa, basi yeye atafanya maamuzi magumu na nisimlaumu kwa lolote.

Hapa nawaza, huyu ni kwamba sasa hivi ana mtu mwingine ndio maana ananipa hii ultimatum au tatizo nini?
Tatizo ni wewe alafu unatuuliza sisi tena
 
Hata walio oa/kuolewa hawana majibu ya kuridhisha kwanini wameoa

1. Wapo waliooa kwasababu ya shinikizo la wazazi, wapo wazazi wamekua wakiwalalamikia watoto zao kuwa umri unaenda wanataka wajukuu

2. Lipo kundi ambalo wameoa/kuolewa kwasababu wamekua wakiona watu wa rika zao wote wameoa hivyo wana inferior kuwa jamii inawaona kwa jicho baya

3. Wapo walio oa kwasababu ya mkumbo wamekuta jamii ikiishi katika utamaduni huo kua umri fulani ni lazima mtu awe ameoa/kuolewa

4. Na saizi wapo wanao oa kwasababu kesho ni mfungo, kundi hili la watu wamejiwekea udhaifu kwamba ni ngumu kuishi katika hicho kipindi bila kufanya ngono, na kufanya ngono ya bila ndoa katika kipindi hicho ni dhambi hivyo inamlazimu aoe ili kuhalalisha ngono

5. Wapo walio oa kwasababu ya uvivu wa kazi ndogo ndogo za nyumbani, hili ni kundi lenye watu wengi sana mpaka sasa. Hii inamaana kwamba watu hawa hawakuingia kwa nia madhubuti ya kifamilia/kindoa changamoto za kufua, kuisha vyombo, usafi kiujumla zimepelekea kufunga ndoa. Hapo utaona nafasi ya mke ni kama beki tatu

6. Lipo kundi la watu walioingia kwenye ndoa kutokana na "HOFU". Hili ni kundi ambalo ukiwauliza kwanini umeoa watakuambia "maisha bila mke ni risk sana kwasababu unaweza ukaumwa usiku ukakosa nguvu hata kushika simu ukashindwa hivyo bila mke waweza kufa"

7. Hawa ni wale walio oa baada ya kukutwa na hatia ya kuzini eidha alimpa mimba mwanamke kwa bahati mbaya hivyo ikamlazimu amuoe. Wapo pia wanawake watukutu waliogomea kwenye mageto ya masela kwa kuforce kuolewa

Siku ambayo watu watajua sababu ya msingi kwanini wanaoa kuna uwezekano tukadhibiti kwa kiasi fulani hii migogoro ya ndoa na idadi ya talaka
Namwingine anaoa akihofia kisu demu wake watu watamuwahi hivyo anaona bora afunge naye pingu za maisha
 
Ameona engene yako ya diesel inachelewa kuchanganya.

Akaona akuchachafye kdogo by the way unatakiwa kuchanganya umpige mtu kati mtoto huyo😊😊😊😊😊😊
 
Miaka 3?? Sio mingi sana...lkn kama unadhan ana sifa za kuwa mke na una mpango wa kuoa soon n bora ukakaa nae chi ukampa io mipango ili awe na dira kwenye hayo mahusiano...na kama huna mapango nae mchane mapema
 
Habari za leo watanzania wenzangu?

Nimeshangaa tu jana usiku mpenzi wangu from nowhere kanitumia ujumbe kwenye simu kuwa, mwaka huu ukiisha kama sijamuoa, basi yeye atafanya maamuzi magumu na nisimlaumu kwa lolote.

Hapa nawaza, huyu ni kwamba sasa hivi ana mtu mwingine ndio maana ananipa hii ultimatum au tatizo nini?
Volunteering inachosha mkuu

We mtu amejitolea miaka mitatu
 
Miaka 3?? Sio mingi sana...lkn kama unadhan ana sifa za kuwa mke na una mpango wa kuoa soon n bora ukakaa nae chi ukampa io mipango ili awe na dira kwenye hayo mahusiano...na kama huna mapango nae mchane mapema
Nimekupata mkuu
 
Hali yangu kama yako mkuu mimi nimezaa nae mtoto na nimepewa deadline mwakani nisipofanikisha anachukua maamuzi magumu, sababu ya kutomuoa mpaka sasa ni kukosa kipato Cha uhakika sasa nikianza kulipa hizo mahali nadhani nitayumba kabisa na sina kazi ya uhakika mpaka sasa japo maisha yanaenda, japo nilijaribu mwanzoni ila walizingua upande wao
 
Mpumbavu wewe

Mimi ni misogany lakini na uhuni wangu siwezi kaa na mtoto wa mtu kuanzia miezi mitatu mmoja unatosha siwezi potezea mtu muda kama si na nia ya kuoa

Fala sana we jamaa unagongwa na wachawi

Dada una hasira sana, kwani unateseka?
 
Habari za leo watanzania wenzangu?

Nimeshangaa tu jana usiku mpenzi wangu from nowhere kanitumia ujumbe kwenye simu kuwa, mwaka huu ukiisha kama sijamuoa, basi yeye atafanya maamuzi magumu na nisimlaumu kwa lolote.

Hapa nawaza, huyu ni kwamba sasa hivi ana mtu mwingine ndio maana ananipa hii ultimatum au tatizo nini?
Brooo angalia maisha yako wazuri wenye heshima na watamu kuliko yeyewapo wengi sana kama mishe zako hazijasetle tulia Tu maana ukiowa bila kutarajia utapata magumu kuliko Ayo anayotaka kuchukua
 
Back
Top Bottom