Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,678
- 2,882
Mwambie afanye hayo mamuzi mapema
Ningekutukana ila nikajizuia. Kwa hiyo unaona ajabu sana akitaka umuoe haraka? Unataka mtimize mwaka wa nne na mpaka lini hasa.Mwaka wa tatu huu mkuu
Na bado tutakoma,nchi si wanaongoza?tuende nao taratibu na kwa kutuliaHabari za leo watanzania wenzangu?
Nimeshangaa tu jana usiku mpenzi wangu from nowhere kanitumia ujumbe kwenye simu kuwa,mwaka huu ukiisha kama sijamuoa, basi yeye atafanya maamuzi magumu na nisimlaumu kwa lolote.
Hapa nawaza,huyu ni kwamba sasa hivi ana mtu mwingine ndio maana ananipa hii ultimatum au tatizo nini?
Mpumbavu weweMwaka wa tatu huu mkuu
Kumbe jibu tayari unalo bwana mkubwaHabari za leo watanzania wenzangu?
Nimeshangaa tu jana usiku mpenzi wangu from nowhere kanitumia ujumbe kwenye simu kuwa, mwaka huu ukiisha kama sijamuoa, basi yeye atafanya maamuzi magumu na nisimlaumu kwa lolote.
Hapa nawaza, huyu ni kwamba sasa hivi ana mtu mwingine ndio maana ananipa hii ultimatum au tatizo nini?
Nadhani kati ya watu walotoa ushauri basi ushauri wako nimuhimu sana,umeandika maneno machache yenye ujumbe mzito,binafsi simshauri aoe kwa sababu ya pressure kutoka upande mmoja kwenye kuoa kila mtu anamipango yake na wengine wanakuwa na malengo ya kutimiza ndo wakaoe,unaoa et kwa sababu wadogo zako wote wameoa??ni ujinga,unaoa et kwa sababu classmates wako wote wameoa ni ujinga,unaoa et kisa una miaka 30 ni ujinga?kikubwa ishi kwa malengoNdoa ngumu bora usubirie tu hayo maamuzi magumu unaweza ku fight nayo lakini sio changamoto za ndoa
Kwani kuoana Ni lazima !?Miaka mitatu mmehitimu shahada ya nini?
Mahusiano yenye fyucha huwezi kukaa miaka yote hiyo.
Yupo sahihi.
Nimemwambia hawezi uliza hilo swali kama hana plan BHuyo tayari ana bwana wake tofauti na wewe shtuka na uanze kumuheshimu Mwanamke wa Mtu sasa
Naaam uko sahihi Tayari Kesha jipanga kwa LoloteNimemwambia hawezi uliza hilo swali kama hana plan B
Hata walio oa/kuolewa hawana majibu ya kuridhisha kwanini wameoaNadhani kati ya watu walotoa ushauri basi ushauri wako nimuhimu sana,umeandika maneno machache yenye ujumbe mzito,binafsi simshauri aoe kwa sababu ya pressure kutoka upande mmoja kwenye kuoa kila mtu anamipango yake na wengine wanakuwa na malengo ya kutimiza ndo wakaoe,unaoa et kwa sababu wadogo zako wote wameoa??ni ujinga,unaoa et kwa sababu classmates wako wote wameoa ni ujinga,unaoa et kisa una miaka 30 ni ujinga?kikubwa ishi kwa malengo
Sasa chunguza miaka yake. Ukute mwenzio alikuwa na 30 yrs ulipomfuata.Mwaka wa tatu huu mkuu
Kuna sababu mbili tu za ndoa nazo ni Ustaarabu wa kujamiiana na kuendeleza kizazi chenye maadili.(utunzaji sahihi wa watoto)Hata walio oa/kuolewa hawana majibu ya kuridhisha kwanini wameoa
1. Wapo waliooa kwasababu ya shinikizo la wazazi, wapo wazazi wamekua wakiwalalamikia watoto zao kuwa umri unaenda wanataka wajukuu
2. Lipo kundi ambalo wameoa/kuolewa kwasababu wamekua wakiona watu wa rika zao wote wameoa hivyo wana inferior kuwa jamii inawaona kwa jicho baya
3. Wapo walio oa kwasababu ya mkumbo wamekuta jamii ikiishi katika utamaduni huo kua umri fulani ni lazima mtu awe ameoa/kuolewa
4. Na saizi wapo wanao oa kwasababu kesho ni mfungo, kundi hili la watu wamejiwekea udhaifu kwamba ni ngumu kuishi katika hicho kipindi bila kufanya ngono, na kufanya ngono ya bila ndoa katika kipindi hicho ni dhambi hivyo inamlazimu aoe ili kuhalalisha ngono
5. Wapo walio oa kwasababu ya uvivu wa kazi ndogo ndogo za nyumbani, hili ni kundi lenye watu wengi sana mpaka sasa. Hii inamaana kwamba watu hawa hawakuingia kwa nia madhubuti ya kifamilia/kindoa changamoto za kufua, kuisha vyombo, usafi kiujumla zimepelekea kufunga ndoa. Hapo utaona nafasi ya mke ni kama beki tatu
6. Lipo kundi la watu walioingia kwenye ndoa kutokana na "HOFU". Hili ni kundi ambalo ukiwauliza kwanini umeoa watakuambia "maisha bila mke ni risk sana kwasababu unaweza ukaumwa usiku ukakosa nguvu hata kushika simu ukashindwa hivyo bila mke waweza kufa"
7. Hawa ni wale walio oa baada ya kukutwa na hatia ya kuzini eidha alimpa mimba mwanamke kwa bahati mbaya hivyo ikamlazimu amuoe. Wapo pia wanawake watukutu waliogomea kwenye mageto ya masela kwa kuforce kuolewa
Siku ambayo watu watajua sababu ya msingi kwanini wanaoa kuna uwezekano tukadhibiti kwa kiasi fulani hii migogoro ya ndoa na idadi ya talaka
Mwaka ukiisha usipo timiza azma akishachukua maamuziMwaka wa tatu huu mkuu
Kabisa mkuuuHata walio oa/kuolewa hawana majibu ya kuridhisha kwanini wameoa