Bora kudate na wazee they have no complain at all jamani,
Bora akuombe...shida mwanamke akisema 'nikopeshe' na wewe ukaamini 'umemkopesha'...
Bora kudate na wazee they have no complain at all jamani,
nauli ya kuendea kazini.
Bora akuombe...shida mwanamke akisema 'nikopeshe' na wewe ukaamini 'umemkopesha'...
Bora kudate na wazee they have no complain at all jamani,
Kukosa uaminifu na kuwa tayari kubeba majukumu yake huko.to me sioni kama ina shida otherwise ukubali kuwa mtaji coz utazitoa mara kwa mara kiwango kikubwa bila kujua zinafanyiwa nini?kama hataki kuulizwa za nini?atafute kwa jasho lake na kutumia za kwake
Mkuu hapo umelenga, yaani Mimi mwanamke akinikopa najua hiyo nimempa tu.
Sijawahi kurudishwa deni na mwanamke.
demu wangu huyu nimekuwa naye takriban miaka 3 sasa nimekuwa nikimpa pesa elfu 20, 50, elfu 200 siku zingine simpi kabisa namwambia hali ngumu kwa vile najua anafanya kazi. jana kaniomba laki 2 nikastuka kwa vile hajawai kuniomba kiasi kikubwa kama hicho nikamjibu aje tuonane vile hatujaonana miezi 5 (nilikuwa nimesafiri) hofu yangu nikimpa atazoea kuniomba pesa nyingi
ushauri tafadhali.
Labda wanaokukopa.....ila mim najitahidig walau nusu nirudishe
Acha udhaifu kisa Demu
soma vizuri uzi