Mpenzi wangu kanikataa live leo

Sio rahisi hivyo,, mnaoongea hayo kaa chini fikiria binti yako anachakazwa na wanaume ovyo utashangilia kweli? Jitahdn kuwa na busara Mungu atakujalia kuwa na watoto wakike utaupata uchungu wa kujua mwanao anachezewa kama mpira ,, be humble jaman akitendewa hivyo mwanao utataman huyo kijana sjui umfanye nn, so paining jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...hua hawaombwi unawaweka kwenye kumi na nane tuuh


wengi wa namna hyo kuna mijamaa inakula
 
Hamjawahi kufanya mapenzi alafu unasema mpenzi wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Powa mkuu naheshimu maoni yenu na ushauri wenu, maisha yanaendelea
 
Now this nigga done decided to drop some dimes here
 
Ndo maana hata mimi sikuwa na papara ya sex, ndo maana ilifika kipindi ni kahisi huyu manzi ananichezea akili au?
Nilimpenda na nilimuahidi ntakuja kumuoa lakini yeye hakuwahi kuniamini.
 
Ngoja nisubiri, lakini mimi naona atanichefua tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…