Mpenzi wangu hayupo Romantic

Mpenzi wangu hayupo Romantic

Ameiga tabia za wanawake wa kichaga hawana matako pia wanalala Kama gogo
 
ID yangu inawachangana sana watu, Go to Google and write Suriya.
Utaona wanakuletea nn..
Mi kidume mtu wangu.
Suriya we ni Tomboy?

Samahani lakini. Nauliza tu! Kingine nakuomba kama ukijibu usinitusi, tafadhali.
 
Naweza kukusaidia ktika hilo, mlete kwangu kwa week inatosha
 
alooh mkuu,mbna ndo mwenyew?
Mkuu hawa madem wazuri wana siri nzito sana.. Ukweli ni kwamba wanaume hua tunazungukana kwa mademu wale wale.. Demu akishakua na shepu na sura nzuri baasi wanaume wote tumoo 😀
 
Mkuu hawa madem wazuri wana siri nzito sana.. Ukweli ni kwamba wanaume hua tunazungukana kwa mademu wale wale.. Demu akishakua na shepu na sura nzuri baasi wanaume wote tumoo 😀
kwel kabxa hapo kuna ukwel kias chake,huyu baada ya kutumia sanaa akaja nambia nmepata jamaa mwngine nkamtakia kila la heri,ko bdo unakuta tuko kwa mzunguko tu
 
Wakuu demu wangu mpya, namwambia awe romantic anifurahishe Lakini imeshindikana kabisa kabisa, Ni msukuma wa Kahama.

Kiukweli kaumbika, umbo la kimiss. Lakini daaa

Aisee...
Nipeni shule hapo kidogo ya kumpa ili hata abadilike kidogo.
Pole
 
Sio kwamba hayuko Romantic bali huyo hana hisia za kimapenzi na wewe.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom