Mpenzi wangu hayupo Romantic

Mpenzi wangu hayupo Romantic

Wakuu demu wangu mpya, namwambia awe romantic anifurahishe Lakini imeshindikana kabisa kabisa, Ni msukuma wa Kahama.
Kiukweli kaumbika, umbo la kimiss. Lakini daaa
Aisee...
Nipeni shule hapo kidogo ya kumpa ili hata abadilike kidogo.
 
Hujampagawisha bado.

Mpagawishe u-romantic utakuja automatically.


Demu wangu wa sasa tulipoanza rltnshp alikuwa hayupo romantic kabisa, muda wote naitwa baba la baba, mara niambie wewe..... Lkn cheki sasa hivi hapa chini[emoji1541][emoji1541][emoji1541].... Ni mwendo wa my hubby, my everything[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tumia akili kijana, mapenzi upofu na akili ndio macho yake.

View attachment 1181404
Demu wa siku hizi wako romantic only kwenye simu tu..... ukikutana naye unajutia kwanini Umefunga biashara yako kukutane nae, hawezi kushutua hisia zako za mapenzi, mnapanga nae mambo ya faragha unafikiri mnafanya mkataba wa biashara, macho meupe aibu hamna sauti ni yakupayuka anatamani kununuliwa supu kwanza kuliko kutamani kukutana na wewe, miss u imekua neno la fashion hawalielewi, duh.....
 
Itakua Rechal wangu wa kahama,anajua sana kunywa savanah ila anajua tu kutegesha

Ndio mkuu huyu ni Rachel kabisa.. yeye anachojua ni kugida savannah na kuku tuu akifika kitandani hata mguno wa uongo na kweli hakuna. Mi nilimpiga chini..!
 
Demu wa siku hizi wako romantic only kwenye simu tu..... ukikutana naye unajutia kwanini Umefunga biashara yako kukutane nae, hawezi kushutua hisia zako za mapenzi, mnapanga nae mambo ya faragha unafikiri mnafanya mkataba wa biashara, macho meupe aibu hamna sauti ni yakupayuka anatamani kununuliwa supu kwanza kuliko kutamani kukutana na wewe, miss u imekua neno la fashion hawalielewi, duh.....
Exactly!
 
Ndio mkuu huyu ni Rachel kabisa.. yeye anachojua ni kugida savannah na kuku tuu akifika kitandani hata mguno wa uongo na kweli hakuna. Mi nilimpiga chini..!
😂😂😂kumbe hawa Rechal wote wana tabia kama dem wa Gwaj boy mkuu?au n huyu huyu wangu ulitumia mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom