Mpenzi wangu hayupo Romantic

Mpenzi wangu hayupo Romantic

Mlete huku Tanga
Darsa bure bure

Nimekuja huku kutazama maendeleo ya mwali wangu
Wakuu demu wangu mpya, namwambia awe romantic anifurahishe Lakini imeshindikana kabisa kabisa, Ni msukuma wa Kahama.

Kiukweli kaumbika, umbo la kimiss. Lakini daaa

Aisee...
Nipeni shule hapo kidogo ya kumpa ili hata abadilike kidogo.
 
Hujampagawisha bado.

Mpagawishe u-romantic utakuja automatically.


Demu wangu wa sasa tulipoanza rltnshp alikuwa hayupo romantic kabisa, muda wote naitwa baba la baba, mara niambie wewe..... Lkn cheki sasa hivi hapa chini[emoji1541][emoji1541][emoji1541].... Ni mwendo wa my hubby, my everything[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tumia akili kijana, mapenzi upofu na akili ndio macho yake.

View attachment 1181404
[emoji23][emoji23]
 
Hahahaaaaaa

Inanikumbusha ke mmoja nilikumbana nae Mwanza (Magu) aseeee ni shida. Akiushikashika mkuyenge utadhani anaungo'a / kuunyofoa pahala pake. Na anafosi kutaka kuonekana anajua kumbe bure kabisa!. Nikamwambia haina mfupa hiyo ohoooooo
 
[emoji26][emoji26][emoji54][emoji1786][emoji19]
Hahahaaaaaa

Inanikumbusha ke mmoja nilikumbana nae Mwanza (Magu) aseeee ni shida. Akiushikashika mkuyenge utadhani anaungo'a / kuunyofoa pahala pake. Na anafosi kutaka kuonekana anajua kumbe bure kabisa!
 
Mfundishe uromantiki tu ataelewa kama anakupenda haitchukua muda atabadilika.
 
Kwako mtoa mada!
Uromantic unaoutaka wewe ni wa dizain ipi?
-ule wa kuitana kwenye simu bby,sweetie, Darling, honey pie, amor nk
-uromantic wa madeko ndani nk
Ama niaje?
 
Wakuu demu wangu mpya, namwambia awe romantic anifurahishe Lakini imeshindikana kabisa kabisa, Ni msukuma wa Kahama.

Kiukweli kaumbika, umbo la kimiss. Lakini daaa

Aisee...
Nipeni shule hapo kidogo ya kumpa ili hata abadilike kidogo.
Suriya we ni Tomboy?

Samahani lakini. Nauliza tu! Kingine nakuomba kama ukijibu usinitusi, tafadhali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom