Mpenzi wangu hatoi hela ya matumizi pia ana lugha ya command

Mpenzi wangu hatoi hela ya matumizi pia ana lugha ya command

Status
Not open for further replies.
Muuza duka anakupaje hela ya matumizi. Ww ndio umsaidie. Acha kupenda hela wakati mwenzio hana uwezo. Pia lugha ya comand ni kawaida kwa watu wa huko. Ila mbadilishe uone.

Mimi ninae tegemea mshahara mwisho wa mwezi na yeye kila siku lazima apate mteja nani hapo wa kumtegemea mwenzake.
 
Yaani mtu anakaribia kuoa still anaishi kwa kaka yake!!?, akija kwako anashiba halafu anasepa kimyakimya!!? Bado na mambo ya ' lete haraka'!!? Duh! Hapo pagumu aisee. Na kama umeshafikia hatua ya yeye kukukera anapokuja kwako, huoni kwamba maisha ya ndoa kwako yatakuwa magumu sana? Manake kumbadilisha mtu tabia si kazi ndogo. Kuna wanaume hawana haya jamani acheni.
 
Huyo achana naye anakupotezea muda tu.Nenda maeneo ya kona bar kuna wanaume wengi wakarimu sana na wanatoa matumizi mazuri sana
 
Mimi mwenyewe naona hatutafika mbali kwa sababu mwisho wa siku unatamani asije home kutokana na lugha yake ya command.

penzi ni kuelewana so kama yeye anadai kazoea hiyo lugha maana yake kila utakapokuwa nae lazima mtakuwa mnakwazana so kama hawezi badilika mwambie tu yupo huru kumtafuta anayependa kuamrishwa kama ng'ombe
 
We utakuwa umepata kitu kipya aiseeee
 
penzi ni kuelewana so kama yeye anadai kazoea hiyo lugha maana yake kila utakapokuwa nae lazima mtakuwa mnakwazana so kama hawezi badilika mwambie tu yupo huru kumtafuta anayependa kuamrishwa kama ng'ombe
Thanks kwa ushauri wako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom