Mpenzi wangu hatoi hela ya matumizi pia ana lugha ya command

Mpenzi wangu hatoi hela ya matumizi pia ana lugha ya command

Status
Not open for further replies.
Kazi Ni Kwako Dada Unaweza Ukamuona Huyu Yuko Hivyo Ukaenda Kwa Mwingine Ndo Ukakuta Yamezidi Bora Ulipokuwa Mwanzo Ila Kwenye Suala La Hela Usilalamike Kwakuwa Hauombi Ndio Maana Haupewi

sio kweli kuwa unayeanza naye ndio ana afadhali kuliko wengine kila mtu ana mapungufu yake lakin mengine huzidi na ni ngumu kuvumulia.
dada mtu ambaye umemchoka hivyo ukiolewa miezi miwili badae utalia daily. mtu wa hivyo ni ngumu kufurahia penzi lake.

pia huyo ana tamu ya utegemezi hawezi kupanga hata room moja uswahilini? ni mtoto wa mama huyoo au ni wale mwafulan hawajui pangilia pesa akipata siku mbili zimeisha.
 
kama unaona ndoa haiwezekani kwa tabia zake ni kwa nini unampeleka kujitambulisha kwenu.
 
Jaribu kuongea nae mara kwa mara kwa kila usichokipenda kwake.....Vunja ukimya
 
Jaribu kuongea nae mara kwa mara kwa kila usichokipenda kwake.....Vunja ukimya

Thanks kwa ushauri nimemwambia ila nitaendelea kumonitor kama atabadilika au la.
 
Mimi mwenyewe naona hatutafika mbali kwa sababu mwisho wa siku unatamani asije home kutokana na lugha yake ya command.

kaenda shule japo kidgo?
mana shule nayo umbadilisha mtu
 
Lugha ya command ndio kakua nayo mpk kawa mtu mzma hvyo, usitarajie eti atakuja kubadilika sasa hv.. ts too late wew km unampenda jitahid kuzoea na kuona ndio ongea yake, hutaona kero tena.. ila swala la ela mwambie, maana mwanaume unavyomzoesha ndivyo atavyokuwa hadi atavyokuoa.. kwahyo mshape asa hv. Siyo wanaume wote wanaopenda kutoa ela, wengne wanakutega mpk umuombe. Hvyo anza kuomba rasm sasa, ili azoee tabia ya kukuachia ela ya matumizi
 
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu.
 
Huyo lazima atakuwa anatoka Kanda Maalum a.k.a Mkoa wa Wanaume (Mara) ambako hakuna maneno ya "Naomba, Samahani, Pole na mengine kama hayo.Ukiolewa na huyo itabidi lugha za ukakamavu uzizoee tu kwa amri ni kitu cha kawaida.Yaani nyumbani ni kama Kambi ya Jeshi, ni amri kwa kwenda mbele.
 
Muuza duka anakupaje hela ya matumizi. Ww ndio umsaidie. Acha kupenda hela wakati mwenzio hana uwezo. Pia lugha ya comand ni kawaida kwa watu wa huko. Ila mbadilishe uone.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom