Mpenzi wangu hatoi hela ya matumizi pia ana lugha ya command

Mpenzi wangu hatoi hela ya matumizi pia ana lugha ya command

Status
Not open for further replies.
Wapenzi wengine vimeo kweli kweli. Kila siku uombe hela ya matumizi utadhani hawajui kuwa kuna vitu vya kununua.
 
kama amezoea kuongea hivyo na wenzaje mpe condition kuwa ajitune anapokuwa na wewe asifanye muda wote ni wa comand. ila kwa dizaini hiyo hamtafika mbali

Mimi mwenyewe naona hatutafika mbali kwa sababu mwisho wa siku unatamani asije home kutokana na lugha yake ya command.
 
Kwani Ukihamia Kwa Mwanamke Kuna Tatzo Gani ? Acha Fikra Mbovu Ndugu Unaweza Ukakaa Kwa Mwanamke Na Maisha Yanasonga Ila Ungesema Anamtegemea Mwanamke Kwa Kila Jambo Hapo Sawa Ningesema Huo Ni Ujinga

Kama wewe sio under 18 basi utakuwa mtu mzima ila unaishi kwenu au unaishi kwa demu wako anakulea. Maana hilo jibu lako si bure.
 
Best umeileta huku?nimeamini huna siri
 
Huyo mbona yuko poa tu. Amri wasukuma wako hivyo hayo mambo ya baby hawana sana. Kuhusu hela atakupa ukishakuwa mke, kwanza wewe unafanya kazi kwa nini unataka upewe hela?
 
Halafu hii tabia ya kugeneralize tabia ya mtu kuwa ndo wasukuma wote tulivyo haijakaa sawa aisee.
Jifunze kumbembeleza na kumlisha maneno ya mahaba mwenzio then ukiona kakolea mpe conditions za ustaarabu uutakao kisha jipe muda wa kupima somo lako limemwingia vzr? then fasta mruhusu aende home kujitambulisha.
 
Thanks nitafanyia kazi ushauri wako.
 
Mwanaume mwenyewe anakaa kwa kaka yake....

Hivyo akioa ahamie kwa mwanamke la hashaaaaaaa...tena aliyepanga chumba Big NO

Ingekuwa mwanamke kajenga angalau ungesema anasave kodi ya nyumba.... ila mwanajme wa kiafrika aliyekamilika mwenye akili zake timamu hawezi kuhamia kwenye chumba alichopanga mwanamke, atatafuta chumba/nyumba wahamie huko

Halafu ushasoma mwanaume hatoi matumizi, (inamaana akienda kwa mwanamke anakula bure, anakunya bureee hajui hata vilipotoka) kifupi ni zigo la misumari

Kwani Ukihamia Kwa Mwanamke Kuna Tatzo Gani ? Acha Fikra Mbovu Ndugu Unaweza Ukakaa Kwa Mwanamke Na Maisha Yanasonga Ila Ungesema Anamtegemea Mwanamke Kwa Kila Jambo Hapo Sawa Ningesema Huo Ni Ujinga

Akaaaaa MARIOOOOOO
 
hakufai huyo japo umeisha mvuilia chupi.........!!!
 
kazoea slope ndo.maana anakaa kwa kk ake so hata kutoa anakugumu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom