Habari zenu wana jf,
Samahani kwa usumbufu, niendelee na huyu mpenzi au niachane nae? Mimi ni msichana nina mpenzi ambae tokea tujuane ni miezi sita. Mimi ninafanya kazi serikalini mwenzangu anauza duka la kaka yake ila ana assets.
Mimi nimepanga yeye anaishi kwa kaka yake ila kila siku jioni lazima aje kwangu kula siku mojamoja analala kabisa. Tatizo lake hatoi hela ya matumizi mpaka niombe.
Kitu kingine kinachonikera ana lugha ya command sana maneno ambayo mda mwingi anayatumia ni nipe, nipe haraka, njoo unipe hana polite language kabisa.
Sijawahi sikia akisema naomba. Mwezi wa saba anataka akajitambulishe kwetu ila kulingana na hizi tabia zake nahisi kama hatutawezana. Mimi ni mtu wa Kusini yeye ni wa Kanda ya Ziwa.
Naomba ushauri wenu