Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,139
Kha!Sasa na ww unataka namba za marafiki zake za nini? Hata mimi ningekataa!
Magonvi mengine ya kujitakia hasa,mtu aanze tu kuomba namba ya simu ya rafiki! Sijui anaanzaje kwanza kuniomba hiyo namba
Kha!Sasa na ww unataka namba za marafiki zake za nini? Hata mimi ningekataa!
mkuki kwa nguruwe, vipi na yeye akiomba namba za washkaji zako?? utajisikiaje kwa moyo wako?Nimekua na uhusiano na mdada mmoja kama miezi sita hivi, lakini tatizo lake ni kuwa hataki kabisa niwe na contacts za mashost zake.Sometime nikimpigia anasema niwasalimie ,yaani akiwa na rafiki yake nikiongea nae lazima anipe niongee naye.Ila nikisema nipe namba yake anakua mkali sana na anakasirika , sasa sijui anafikiri nini? simuelewi hata kidogo
Yaweza kuw aliyekuw nae kabla yako atakuwa alinyang'anywa kwa style hiyo
nimekua na uhusiano na mdada mmoja kama miezi sita hivi, lakini tatizo lake ni kuwa hataki kabisa niwe na contacts za mashost zake.sometime nikimpigia anasema niwasalimie ,yaani akiwa na rafiki yake nikiongea nae lazima anipe niongee naye.ila nikisema nipe namba yake anakua mkali sana na anakasirika , sasa sijui anafikiri nini? Simuelewi hata kidogo
Magonvi mengine ya kujitakia hasa,mtu aanze tu kuomba namba ya simu ya rafiki! Sijui anaanzaje kwanza kuniomba hiyo namba
Wewe unataka namba zao za nini?