Mpenzi wangu hataki nichukue namba za simu za rafiki zake

Mpenzi wangu hataki nichukue namba za simu za rafiki zake

Yaweza kuw aliyekuw nae kabla yako atakuwa alinyang'anywa kwa style hiyo
Haswa wewe utakua umenena kuliko hao wengine
Mimi sina nia mbaya ,sasa ikitokea hapatikani si naweza kumtafuta kupitia marafiki zake ?sijaona shida hapo ila nilitaka kujua yeye anahisije? Sasa tumezoeana na hao marafiki zake sasa namba ndio iwe shida
 
sijaona shida hapo ila nilitaka kujua yeye anahisije?

Sawa. Kwa wewe inaweza isiwe shida kutaka namba hizo za marafiki wa mpenzi wako, lakini kwa kuwa mwenzako hana amani na zoezi hilo basi ni vema ukaachana na mpango huo mapema kabisa.
 
hajiamini..anahisi utawatongoza.Embu, twambie wasifu wako usijekuwa penda totoz.....
 
hajiamini..anahisi utawatongoza.Embu, twambie wasifu wako usijekuwa penda totoz.....
 
nimekua na uhusiano na mdada mmoja kama miezi sita hivi, lakini tatizo lake ni kuwa hataki kabisa niwe na contacts za mashost zake.sometime nikimpigia anasema niwasalimie ,yaani akiwa na rafiki yake nikiongea nae lazima anipe niongee naye.ila nikisema nipe namba yake anakua mkali sana na anakasirika , sasa sijui anafikiri nini? Simuelewi hata kidogo

mashosti zake wanakusuhu nini sasa?
 
cheap cheap story!!!muombe na namba za dada zake kabisaa
 
Back
Top Bottom