Mpenzi wangu hataki nichukue namba za simu za rafiki zake

Nimekua na uhusiano na mdada mmoja kama miezi sita hivi, lakini tatizo lake ni kuwa hataki kabisa niwe na contacts za mashost zake.Sometime nikimpigia anasema niwasalimie ,yaani akiwa na rafiki yake nikiongea nae lazima anipe niongee naye.Ila nikisema nipe namba yake anakua mkali sana na anakasirika , sasa sijui anafikiri nini? simuelewi hata kidogo

Oooooh wajinga ndio waliwao.. Oooohh wajinga ndio waliwao..x2 nyimbo ya dini..

acha nao na hiyo mambo kwani zitakusaidia nini labda..
 
Inawezekana tumebase upande mmoja tuu wa kusema may be akizipata hz no anaweza kudate nao ila inawezekana pia akawa anampenda gal wake kiasi cha kutaka kumjua zaid kupitia kwa mashost zake pia inawezeka siku umepiga simu haipatikani utamuuliza nani kama sio marafiki zake, mimi naona kunaweza kuwa na both posibility kuchukua no kwa nia njema au la,
 
Hata mimi kuna siku mpenz wangu aliomba cm yangu kumpigia rafikiye(wakike) na baada yaaongez akanisimamia mpaka nikafuta zile namba ati hataki niwe rafiki wa rafiki zake na nilipohoji sababu alikataa kusema. Ila wakati namshawish juu ya hilo la urafiki nilimuona akibadilika na kuonyesha kuudhika na nikaamua niachane na hayo. Mara nyingi hili hutokana na wivu wake juu yako!
 
Inawezekana tumebase upande mmoja tuu wa kusema may be akizipata hz no anaweza kudate nao ila inawezekana pia akawa anampenda gal wake kiasi cha kutaka kumjua zaid kupitia kwa mashost zake pia inawezeka siku umepiga simu haipatikani utamuuliza nani kama sio marafiki zake, mimi naona kunaweza kuwa na both posibility kuchukua no kwa nia njema au la,

Hakuna umuhimu wa kuchukua namba za marafiki mara 1000 angechukua namba za ndugu wa mwanamke walau inaleta maana. Huwezi kumchunguza kupitia marafiki
 
ctaki kuamini hamna anayeona umuhimu wa kua na namba za mashost wa mpenzio,
ni muhimu jamani kua na namba ya watu wa karibu na mpenzi wako , anything can hapen na zikawa useful, hayo mengine ni mengineyo lakini c kusudio la kua na namba,mtu mzima hachungwi kihivyo
 
Nimekua na uhusiano na mdada mmoja kama miezi sita hivi, lakini tatizo lake ni kuwa hataki kabisa niwe na contacts za mashost zake.Sometime nikimpigia anasema niwasalimie ,yaani akiwa na rafiki yake nikiongea nae lazima anipe niongee naye.Ila nikisema nipe namba yake anakua mkali sana na anakasirika , sasa sijui anafikiri nini? simuelewi hata kidogo

we na we kifimbocheza tu! Unataka ucharaze mpaka mashemeji we namba zao za nini?
 
Tabia za kivulana
unamaanisha nini?
Mimi sina nia mbaya ,sasa ikitokea hapatikani si naweza kumtaf
uta kupitia marafiki zake ?sijaona shida hapo ila nilitaka kujua yeye anahisije?
 
we na we kifimbocheza tu! Unataka ucharaze mpaka mashemeji we namba zao za nini?
Mimi sina nia mbaya ,sasa ikitokea hapatikani si naweza kumtaf
uta kupitia marafiki zake ?sijaona shida hapo ila nilitaka kujua yeye anahisije?
 
ctaki kuamini hamna anayeona umuhimu wa kua na namba za mashost wa mpenzio,
ni muhimu jamani kua na namba ya watu wa karibu na mpenzi wako , anything can hapen na zikawa useful, hayo mengine ni mengineyo lakini c kusudio la kua na namba,mtu mzima hachungwi kihivyo
Haswa wewe tu ndo umeelewa maana yangu, sasa jamani watu kila siku unakutana na marafiki zao ndio usiwe na namba?
Yaani unazoeana nae lakini tu koz ulizoenana kupitia mpenzi ndo usiwe na namba za simu,
 
Maswali muhimu haya. Mleta mada yajibu tafadhali
Ni hivi watu mpaka tunazoeana ndio nisiwe na namba zao kisa ni shemeji?
Mimi sina nia mbaya ,sasa ikitokea hapatikani si naweza kumtaf
uta kupitia marafiki zake ?sijaona shida hapo ila nilitaka kujua yeye anahisije?
 
kama ndo mimi hata ya mama yangu sikupi....unaonekana ni ki....mbi!
 
Unahitaji hizo namba kwa ajili ya nn? Zina umuhimu gani kwako? Ni nini ulazima wake?
Mimi sina nia mbaya ,sasa ikitokea hapatikani si naweza kumtafuta kupitia marafiki zake ?sijaona shida hapo ila nilitaka kujua yeye anahisije? Halafu tena hivi huruhusiwi kuwa na namba ya shemeji yako?
Maana kila mara tunakutana ,sasa tunazoeana mara shemeji nikisema naomba no ya simu inakua shida duh
 
Namsikitia sana huyo Mpenzi wako, sababu Bwana alie nae hajitambui,,
Mimi sina nia mbaya ,sasa ikitokea hapatikani si naweza kumtafuta kupitia marafiki zake ?sijaona shida hapo ila nilitaka kujua yeye anahisije?Sasa kwani ni vibaya nikiwa na namba zao koz tumeshazoeaana
 
Back
Top Bottom