Mpenzi wangu hataki kunielewa juu ya kosa langu

Ndugu zangu humu wazima? Natanguliza samahani. But nachohitaji ni ushauri.

Mimi ni kijana napitia changamoto katika mahusiano yangu kama mnavyojua mapenzi yanavyoumiza hasa pale mtu unayempenda akichokwa na tabia zako na akafanya maamuzi ya kuvunja uhusiano, na wakati bado unamuhitaji, naandika haya kwa uchungu😭😭😭

Mahusiano yetu yalianza vizuri tu na tukaenda vizuri ila shida ilianzia kwangu, nilikuwa napenda sana nimtengenezee mwenzangu wivu ili asijeniacha na kitu nilichokuwa nafanya ni kupost picha za msichana mwingine na hii nilikuwa naifanya pindi mwenzangu akinikosea ila hii tabia mwenzangu ilimkera sana but sikuweza kushtuka nikajiona niko sahihi na nimefanya hiyo tabia ya kumpost huyo msichana mwingine kwa nyakati 3 tofauti

Sasa hii ya tatu mwenzangu ameona imezidi ameamua kuniacha karibu mwezi, sasa mawasiliano yetu sio mazuri baina yangu na yeye, kinachoniuma zaidi huyo dada niliyekuwa nampost siko nae kwenye mahusiano.

Mpenzi wangu hataki kunisikia hataki kuiniona ananiona mimi muongo muongo ila baada ya mambo kuwa magumu nimeamua nimueleze ukweli wa juu ya hicho ninachokifanya cha kupost huyo dada ila mwenzangu ndio hivyo hataki kunielewa

Sababu zilizonifanya niwe nampost huyo dada ni

1. Kumtengenezea mwenzangu wivu ili asije niacha

2. Akinikosea nilikuwa nampost ili walau aniulize huyo nani ili nipate chance ya kuchat nae

Maamuzi niliyochukua ni

1. Kuomba msamaha

2. Kuonesha ushahidi kuwa huyo msichana siko nae kwenye mahusiano

3. Kukutana na mchumba wangu ambae nimemkosea ili nimuelezea A-Z kipi hasa kinanifanya nafanya hivi
ila ndo hivo mwenzangu asilimia za kuniamini zimepungua amepunguza uaminifu juu yangu

4. Nimepanga safari ya kusafiri kutoka mkoa wa Katavi hadi Dodoma ili niweze kukutana nae tuzungumze hili suala japo % za kuweza kukuta ni mdogo maana bado mwenzangu ana wasiwasi na mimi ila mimi nimeamua niende hivyo hivyo japo sijui itakuaje

Nimeamua kuondoka na kumtafuta ili nifanye suluhu japo kipato changu kidogo ila nitajibana mpaka nifike huko tujadili haya mambo

Nisaidieni mawazo na namna sahihi ya kuweza kulimaliza hili suala langu

Mwenzangu mpenzi wangu yuko humu ni member sitapenda nitaje jina lake.

Kama atasoma haya maelezo nataka ajue nampenda sana na sipendi nimpoteze❤️❤️

Napitia kipindi kigumu cha mateso makali😭😭😭😭😭 mawazo , mambo yangu hayaendi muda mwingi natumia kuwaza haya tu😭😭 kazi zimesimama nakonda na ulaji wangu umekuwa sio mzuri kabisa😭
Daaaaah!! Yani utoke Katavi mpaka Dodoma kwa ajili ya mbususu, Tafuta pesa acha ujinga
 
Ndugu zangu humu wazima? Natanguliza samahani. But nachohitaji ni ushauri.

Mimi ni kijana napitia changamoto katika mahusiano yangu kama mnavyojua mapenzi yanavyoumiza hasa pale mtu unayempenda akichokwa na tabia zako na akafanya maamuzi ya kuvunja uhusiano, na wakati bado unamuhitaji, naandika haya kwa uchungu

Mahusiano yetu yalianza vizuri tu na tukaenda vizuri ila shida ilianzia kwangu, nilikuwa napenda sana nimtengenezee mwenzangu wivu ili asijeniacha na kitu nilichokuwa nafanya ni kupost picha za msichana mwingine na hii nilikuwa naifanya pindi mwenzangu akinikosea ila hii tabia mwenzangu ilimkera sana but sikuweza kushtuka nikajiona niko sahihi na nimefanya hiyo tabia ya kumpost huyo msichana mwingine kwa nyakati 3 tofauti

Sasa hii ya tatu mwenzangu ameona imezidi ameamua kuniacha karibu mwezi, sasa mawasiliano yetu sio mazuri baina yangu na yeye, kinachoniuma zaidi huyo dada niliyekuwa nampost siko nae kwenye mahusiano.

Mpenzi wangu hataki kunisikia hataki kuiniona ananiona mimi muongo muongo ila baada ya mambo kuwa magumu nimeamua nimueleze ukweli wa juu ya hicho ninachokifanya cha kupost huyo dada ila mwenzangu ndio hivyo hataki kunielewa

Sababu zilizonifanya niwe nampost huyo dada ni

1. Kumtengenezea mwenzangu wivu ili asije niacha

2. Akinikosea nilikuwa nampost ili walau aniulize huyo nani ili nipate chance ya kuchat nae

Maamuzi niliyochukua ni

1. Kuomba msamaha

2. Kuonesha ushahidi kuwa huyo msichana siko nae kwenye mahusiano

3. Kukutana na mchumba wangu ambae nimemkosea ili nimuelezea A-Z kipi hasa kinanifanya nafanya hivi
ila ndo hivo mwenzangu asilimia za kuniamini zimepungua amepunguza uaminifu juu yangu

4. Nimepanga safari ya kusafiri kutoka mkoa wa Katavi hadi Dodoma ili niweze kukutana nae tuzungumze hili suala japo % za kuweza kukuta ni mdogo maana bado mwenzangu ana wasiwasi na mimi ila mimi nimeamua niende hivyo hivyo japo sijui itakuaje

Nimeamua kuondoka na kumtafuta ili nifanye suluhu japo kipato changu kidogo ila nitajibana mpaka nifike huko tujadili haya mambo

Nisaidieni mawazo na namna sahihi ya kuweza kulimaliza hili suala langu

Mwenzangu mpenzi wangu yuko humu ni member sitapenda nitaje jina lake.

Kama atasoma haya maelezo nataka ajue nampenda sana na sipendi nimpoteze

Napitia kipindi kigumu cha mateso makali mawazo , mambo yangu hayaendi muda mwingi natumia kuwaza haya tu kazi zimesimama nakonda na ulaji wangu umekuwa sio mzuri kabisa

Watoto hawaruhusiwi kujihusisha na mapenzi
Zingatia masomo kama uliacha shule tafuta shughuli ya kufanya au usaidie wazazi wako kazi za nyumbani
 
Mapenzi yanauma sana, nakushauri ujinyonge mana hakuna jinsi kutokana na akili zako
 
Punguani

Unacheza kombolela na mtu mzima.
Acha utoto mkuu.

Michezo ya kitoto ni ya watoto, watu wazima wanamichezo yao kuimarisha ndoa zao. Kama huijui ni pm.
ok mkuu nashukulu
 
Lady Jaydee was right aliposema kuna wanaume kama mabinti.. at more than 25yrs bado unatengeneza wivu through posting? Total childish behaviour. Na sijui nan alikufundisha mahusiano.

My take is, hata akikusamehe, tayri ashakuona mtoto na hujakomaa kiakili so automatically heshima itashuka kwa kiwango cha 5G. Na kwa mwanaume, mwanamke wako akishakukosea heshima, unapoteza muda wako tu. Kinachofuata ni nyundo nzito.

Alaf pia, kama yuko humu, bado umejianika uchi sokoni, maana ataona pia hili lipost lako na ushauri unaopewa, so watever u do, ataona pia umeshindwa kuamua kama mwanaume but unaendeshwa na mawazo ya jamii.
My nigga, stand on ur stance kama mwanaume, go there, mchane live kuhusu ujinga wako na uskie atachoamua. Akileta usoro, vaa viatu pita hivi. Heri kufa ukiwa umesimama wima rather than kuishi on your knees kama kondoo.

Know your worth and take responsibility for your actions.
Wahed mkubwa!🤬
nimefanya hivo kuyaanika haya kwa sababu nimefanya kila anina ya njia imeshindikana nimekuja huku ili nipate msaada wakuu
 
Ngoja nikupe mbinu ya kivita, azima kigari kijaze wese nenda nacho.

Ukifika usiongee sana, mbebe tu mzungushe kidogo atalainika

Ila ukienda na miguu ni ngumu kukuelewa.
sasa mkuu hata iyo nasi ya kukutana bado ni %2 mpaka sasa hajib txt hapkei cm yani ni shida
 
saq
Yan kumbe kuna wanaume wana tabia za kike hivo mie mwnywe siwezi fanya huo utoto😆
sawa mkuu mm nimefanya hivo ila nimepata funzo na ndiomaana nimefanya kuja kujieleza huku sababu hum watu wanauzoefu tofauti
 
Kama unaacha uachwe tu, badala ungemtreat vizuri mpaka aone wivu hizo treatment zisipelekwe kwingine we unahangaika na picha ,hii mitoto mingine 😀😀😀 Kwanza nadaiwa kodi hapa leo maza mjengo asiponitupia vitu vyangu nje !! Nitarudi kutoa ushauri
sawa mkuu
 
saq

sawa mkuu mm nimefanya hivo ila nimepata funzo na ndiomaana nimefanya kuja kujieleza huku sababu hum watu wanauzoefu tofauti
Mwanamke hatishiwi mkuu
Ukitingisha kiberiti ye anawasha moto
Shauri yako usiseme hukuambiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom